mwanakidagu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 208
- 78
Mimi nitagombea Iramba mashariki. Muda huu natoa elimu ya uraia.
nikiwa nina haki kikatiba.ya kuchagua kiongozi ama mimi mwenyewe kuchaguliwa kama kiongozi, nina nia ya kuchukua form 2015.endapo chama changu kitaridhia cv yangu.na kunipitisha kupeperusha bendera ya cdm.nitafurah kukutana ama na mwigulu ama yeyote toka chama cha magamba.najua humu jamvini kuna raia wengi wenye busara.za kunishauri.nakaribisha ushaur wenu.my take:matusi na kejeli si mahali pake.kama huna la kunishauri bs pita tu.
hongera brother kama una sifa CDM hatuna hiyana tutakuunga mkono nia yetu ni kuleta ukombozi kwa wana iramba waliochoka na siasa uchwara.go on bro
Tutakuunga mkono.
Lakini shida ninayopata humu katika JF wengi hamjapenda kuandika majina yenu kamili, sijui hofu ni nini. Majimbo yote, Iramba Magharibi na Iramba Mashariki kuna shida ya wabunge waliopo. Bahati nzuri natoka huko, na kila kona naifahamu vizuri kuanzia Kinampundu mpaka Mgela.
Kama mwanJF mmoja alivyosema, jitambulishe vizuri. Mimi nilishamwuuliza mtu mmoja kuhusu Iramba Magharibi, nikaambiwa kuna mwanaCDM msomi mzuri anaandaliwa huko, nikasema sina wasiwasi kama atakuwa huyo. Sasa na wewe jiweke wazi, uko wapi, unafanya nini, sera zako zipi, na unalenga kufanya nini kwa wananchi. Ili tukupime na huyo ambaye anapendekezwa, iwapo haijawa wazi sana.
Kila la heri! Unaweza kuniandikia: ugulapp@yahoo.co.uk
Kule kunanihusu sana, nipo Sheui nimekita.....zikiishavuguvuga za kuvuliwa ubunge nitawaomba makamanda wakuu waje kutoa darasa...ilakama we ni CCM Mayu usilete pua pale....''nikikia nu nduwe''
Nawapongeza kwa kutangaza nia Makamanda.La msingi ni kufanya utafiti shirikishi juu ya kero sugu za wananchi,pia ongea nao ujue priorities zao.NAMI NAJIPANGA KUMNG'OA WAZIRI WA AFYA 2015 KWA CDM PALE ULANGA MAGHARIBI