sonaderm
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 618
- 1,816
Ebana hebu tujuzane kwa nini jina la mh. Shyrose Bhanji jina lake halijaonekana katika majina 12 ya watakaopigiwa kura bungeni kuiwakilisha Tz kwenye bunge la A. Mashariki?
Huyu dada namuona kama mchapa kazi na amejitahidi kuiwakilisha vyema Tz hasa kwa kupeleka miswada 2 ikakubalika..Au alikumbuka shuka wakati kumekucha? Maana kwa stori za mtaani huwa tunasikia mengi juu yake..