Ubovu wa serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubovu wa serikali

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tanzania Mpya, Apr 19, 2012.

 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Mambo yatabadilika tu, nchi ni ya kwetu wananchi na si ya kwao mawaziri mafisadi!! Halafu JK sijui kawapata wapi hawa?! Kwenye katiba mpya mawaziri wasiwe wabunge.
   
 2. S

  Sunga Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kwanza mawazili watakuwa na vibuli, wazili lazima awe mbunge ili kuleta changamoto za uwajibikaji
   
Loading...