Mwaka jana nilishangaa ilipoanzishwa comb wpya ya CBM.
Nilishangaa kwa sababu zifuatazo;
1. Muhimbili hawataki mtu anbaye hajafaulu physics hivyo kusoma CBM kunakuondoa sekta ya afya
2. Engineering inahitaji mtu aliyefaulu physics, hivyo kusoma CBM kunamkosesha mtu sifa ya kuwa engineer
Kwa sababu hizi, watakaosoma CBM watasoma nini chuo kikuu?
Nnashaka yakatokea ya mwaka 2005 pale waziri alipotengeneza somo jipya eti "Physics with Chemistry"
Nawasilisha mada wakuu.