Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao π π π naona vyuo vingi vya private vina usajili wa muda (Provisional License to operate as University) je viko vizuri? maana kimtaan vina majina makubwa lakini usajili wake bado ni wa muda; mfano Cavendish University Uganda, International University of East Africa, Clarke University etc
asanteni