Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 412
- 367
Asante Mkuu kwa msaada.Kama utanunua dukani usikubali bila 1 year WARRANTY (Maana wa napewa kutoka kwa reseller) , kama Ebay usikubali bila 1 year international warranty(au ambayo ina policy ya kumrudishua seller ukikuta tatizo). Usifanye kosa nililofanya mimi. Na pia usinunue Refurbished au used maana zinakuwa na dead pixels na matatizo mengine..
LG kwenye fridge, AC, washing machine, TV ni mzuri sana hata service centre anazo lakini kwenye simu mbovu pita.
Asante mkuu, upande wangu samsung sipendelei sana. Meizu iko vizuri ila 5.7 screen ni kubwa kwangu. I prefer 5.3 or lessmimi binafsi simu ya snapdragon 810/808 siitaki, kama hutaki s6 na meizu pro 5 (kwa simu za mwaka jana) ni bora tu usubirie simu ya sd 820 ishuke bei.
angalia hio budget yako then angalia simu za sd 820 kama xiaomi mi5 na oneplus 3 (wameondoa invitation)Asante mkuu, upande wangu samsung sipendelei sana. Meizu iko vizuri ila 5.7 screen ni kubwa kwangu. I prefer 5.3 or less
Yangu ilikuwa 32gb white manufactured December.. Maana hata kwenye reddit wamekuta correlation kati ya manufacturing date na slowness wa simu plus matatizo mengine.Pia nimepitia forum ya XDA nimekuta mixed reviews, baadhi wanasema simu iko fresh, na baadhi wanasema iko slow.
Hapa itabidi nichukue maamuzi magumu tu
kawaida kwa simu mpya watarelease patch kusolveOne plus 3 ina tatizo ya RAM management kwa users wengi,inaonesha RAM ni 3 gigs badala ya 6gigs.
Kama Xda forum naona wako katika mchakato huokawaida kwa simu mpya watarelease patch kusolve
mkuu ushawahi nunua bidhaa yoyote ebay..????Kama utanunua dukani usikubali bila 1 year WARRANTY (Maana wa napewa kutoka kwa reseller) , kama Ebay usikubali bila 1 year international warranty(au ambayo ina policy ya kumrudishua seller ukikuta tatizo). Usifanye kosa nililofanya mimi. Na pia usinunue Refurbished au used maana zinakuwa na dead pixels na matatizo mengine..
LG kwenye fridge, AC, washing machine, TV ni mzuri sana hata service centre anazo lakini kwenye simu mbovu pita.
Ndio nilianza na vitu vidogo kama stylus 0.99, nikaja memory card then nikajitosa mazima kwenye simu.mkuu ushawahi nunua bidhaa yoyote ebay..????
na ukaipata bila shida yoyote ike ikiwa mpya na inafanya kaz vzurr kabsaa.. bla shida yoyoteNdio nilianza na vitu vidogo kama stylus 0.99, nikaja memory card then nikajitosa mazima kwenye simu.
Ndio, tatizo langu lilikuja baadae kama miezi 5 hivi after kununua. Ndio maana nimemshauri asikubali bila kuwa na warranty kutoka kwa seller.na ukaipata bila shida yoyote ike ikiwa mpya na inafanya kaz vzurr kabsaa.. bla shida yoyote
Mkuu umeniongezea confidence ya kuinunua hii simu. Nachoipendea hasa ni camera and clean OS.Yangu ilikuwa 32gb white manufactured December.. Maana hata kwenye reddit wamekuta correlation kati ya manufacturing date na slowness wa simu plus matatizo mengine.
Ukinunua tu simu hiyo utapata updates 6 hivi moja ya Marshmallow the zitafuata security updates tokea za January hadi June.. Ukishamaliza zote hizo fanya factory reset na hutoona lag yoyote. Maana kusema ukweli sijawahi kuona lag kwenye ile simu nimecheza Need for Speed no limit, asphalt, GTA San andreas na performance ilikuwa poa.
Tena ukiinstall android N hutoamini kama android inaweza perform on par blow to blow with an iPhone.
Huyu seller mzuri, nimependa sana hii ;tropical_mobile on eBay
unaweza mchek huyo seller ana simu nzuri na kwa bei nzuri na ana ship worldwide pia