Habari waungwana
Naomba msaada kwa mtu aliyewahi kutumia Prado yenye engine 5VZ na 3RZ kwa safari za mbali kama Dar kwenda Mwanza/Kyela/Mpanda
Ipi ni nzuri na kwa nini?
Hili tatizo wengi sana wanaliongelea.
Lecterer wangu Dit alifariki kwenye ajali na hii gari akiwa safarini mwaka 2013.
Baadae nikaanza kuona uzi nyingi humu zikiongelea hizi gari kwa ajali ukiwa masafa marefu.
Rip lecterer wangu.