Tupe mrejesho Wewe uliyeinunua;Nilienda kununua mbolea ya ruzuku nikakutana na hi mbolea ya fomi otesha.sikuwahi kutumia na taget yangu ilikuwa dap na nimeikosa,ikabidi nichukue fomi otesha. hi mbolea kwnye mfuko wake imeandikwa 4natengnezwa dodoma kwa wale ambao mmebahatika kuchukua na kutumia vp ubora wake ukoje?nawakaribisha kwa mchango wenu
Miyeyusho 😁😁Nilienda kununua mbolea ya ruzuku nikakutana na hi mbolea ya fomi otesha.sikuwahi kutumia na taget yangu ilikuwa dap na nimeikosa,ikabidi nichukue fomi otesha. hi mbolea kwnye mfuko wake imeandikwa 4natengnezwa dodoma kwa wale ambao mmebahatika kuchukua na kutumia vp ubora wake ukoje?nawakaribisha kwa mchango wenu
Level zake zinajieleza kiwango na aina ya Madini yaliyopoHUKU HAKUNA WAKULIMA AU HAKUNA ALIYEWAHI KUTUMIA HI MBOLEA
Technically ni samadi na kiwango kidogo Cha mbolea za ViwandaniTumia hyo ni nzur kuoteshea lakin ikifka wakat wa kuzalishia usjarbu kutumia wao wanasema ni CAN ila imeandkwa kenycoch km cjakosea hlo ni bomu Haina ubora, mwaka huu kusini tumefchiwa can y falcon imeingzwa hii ni Bora usiweke kabisa.
Hujatoa majibu kadili ya muuliza swali ila umekuja na chuki zako baada ya kunyimwa uwakala.Takataka hiyo mbolea ya CCM na majamaa si yanaturingia sisi Mawakala
Hahahaaa. 😁😁Hujatoa majibu kadili ya muuliza swali ila umekuja na chuki zako baada ya kunyimwa uwakala.
Tumia hyo ni nzur kuoteshea lakin ikifka wakat wa kuzalishia usjarbu kutumia wao wanasema ni CAN ila imeandkwa kenycoch km cjakosea hlo ni bomu Haina ubora, mwaka huu kusini tumefchiwa can y falcon imeingzwa hii ni Bora usiweke kabisa.
Hahahaha kuna msenge mmoja anaitwaga Amani yupo MS Group Company kampuni ambayo ni wakala mkuu wa hizo mbolea na wanao tuuzia mbolea huku Nyanda za juu kusini kama Manager Masoko kanda ana Roho mbaya, nyodo na maringo balaa kwetu mawakala. Mwamba alikuwa anamuona na kumringia Serukamba anayewauzia samadi kwenye hiko kiwanda kama Mungu wake vile.Hujatoa majibu kadili ya muuliza swali ila umekuja na chuki zako baada ya kunyimwa uwakala.