ubora wa cheti cha ACCA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ubora wa cheti cha ACCA?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by chilubi, Apr 18, 2012.

 1. c

  chilubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana JF, naomba mnieleweshe kuhusu ubora wa cheti cha ACCA, na masomo yako vipi na duration yake, vilevile ni wapi wanatoa iyo course wakiwa na walimu wazuri. Nimesikia Financial Training Centre wanasomesha but siiamini ile colleg naona wahindi kibao tu. Naomba munambie ubora wake katika kutamvulika hapa tanzania kwa serikali na private employers, vilevile ningependa kujua kama mtu akimaliza hiyo course ya ACCA anaweza kuendelea na masters au vp?
   
Loading...