ALEX PETER
Senior Member
- Jan 17, 2012
- 117
- 23
we kuna mtu anayeitamani ccm kwa wakati huu? yaani walichofanya pumba kabisa wewe wanaorejesha kadi wanabebwa na loli moja wanakaa pamoja wanafahamiana kadi mpyaa yaani hawa sio makini kabisa na chama cha haina hii ya vitu vya kugushi hata utawala wake ni wa kugushi nchi haiwezi kuendelea na watu wa kugushi ni hatari mno tuwapotezee 2015 mbali mnoooohata mi nilijua hizo cards ni za uongo tu jinsi zilivyorudishwa. Nape mwenyewe hajazicubali yeye ndo cazitengeneza. Peopleeeeeez poweeeeeeer foreveeeeeeeer eveeeer chadeeemaaaaa, I love Our real political party CDM