Ubora katika jezi namba 1

Trebla84

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
510
637
Katika mchezo wa soka jezi namba ni kitu muhimu sana. Je, kati ya hawa makipa watatu Buffon, Kahn na Cassilas ni yupi unahisi aliitendea haki jezi namba 1?

Screenshot_20200420-224610~2.png
 
Wote walikuwa Bora Ila unakumbuka Kahn walikuwa wanasema ana mikono elfu moja kabla ya Ile fainali ya kombe la dunia 2002

Yale ni maneno tu,
Woote ni bora, nikisema niwarate kwangu wote wanaambulia 9:10
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom