Wasalaaam,
Ndugu wanajamvi leo tujadili suala hili.
Imekuwa kawaida kwa watanzania wengi kuwa na chuki mioyoni mwao ata kuwa na mtazamo hasi juu ya mafanikio ya maisha yao na ya wengine kwa ujumla.
Utakuta mtu anahold kumbukumbu mbaya au ya kusikitisha ya maisha ya mtu fulani na wakati wote anaileta katika sifa/mafanikio ya mtu husika.sikatazi historia kutajwa ila nazungumza mtu kuileta katika hali ya kubeza na kutaka kufififsha sifa.
Mfano yakitajwa mafanikio ya mtu lazima atokee wa kubeza kwa kutaja historia mbaya/ya kuuzunisha ya mtu huyo mfano " usimuone hivi zamani alikua ana sota mpaka ananiomba nauli" au yule anaye olewa si alikua ana megwa na fulan na bra braaaa nyingiii.
au nilisoma nae akafeli na kwenda kusoma kwingine ili mradi tu ataje kitu negative.au usiwaone hivi mama yao kawasomesha kwa kuuza visheti nk. Au anajidai kashika dini wakati alikua mlemvi.
Ata ukikutana na mtu alokufahamu ukiwa mdogo utakuta anasema we ulikua unalia wewe.au ulikua mwembamba sana au ulikua mtundu ndo umekua mama/baba?
Mara nyingi maneno haya usemwa kwa lengo la kuififisha sifa tajwa ya wakati huo.utasikia alikua anaishi Tandale ooooh alikua kachoka mpaka mtu ana google picha zake za zamani na nia hasa si kingine bali ni kutaka kufifisha sifa.
Maisha yanabadilika na binadamu pia wanabadilika kwanini usifurahi mtu anapopata kufanikiwa? kwani lazima utaje kitu flani katika maisha yake kitakacho shusha hadhi na sifa yake kwa wakati husika.