Ubongo wa mwanamke haupevuki

Una ufinyu wa akili weye tena mkubwa sana. Hivi wanaume wangapi duniani wameharibu familia zao lakini hilo hutaki kuliona? Kwa sababu wana akili ZILIZOPEVUKA?

Tia akili kichwani na uache kuandika upuuzi wa kuwadharau na kuwadhalilisha wanawake kwa mambo yale yale ambayo wanaume chungu nzima wanayafanya kwa miaka mingi tu.

 
Thats what i was talking about, dunia nzima i aweza kukukimbia ila mama will always stand by your side...yuko tayari kupoteza kila kitu ila sio watoto wake

Hapo angekua ni mwanaume angeshaoa mke mwingine na watoti wangetunzwa na mama wa kambo tena kwa manyanyaso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninayoongea yako juu sana ya ufahamu wako,huwezi kunielewa.
 
BAK usibishane na huyo...tatizo lake anaonekana ni mtoto wa mtaani..hajapata malezi ya mama huyo ndio maana, amepata malezi ya walimwengu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]Shukrani sana Mkuu.

Tatizo unakuta mtoa Mada hajawahi kuishi na mwanamke either Mke au Mama yake then akaona power ya mwanamke
Aisee Mwanamke ana power kubwa sana ni zaidi ya akili za kwenye ubongo
 
Alafu ww hujamuelewa alie fanya utafiti ndio maana amesema hampo machure , kwa hili pia bado hujawa machure pia, kwan kasema ni asilimia 85, mm mke wangu na mama angu hawapo kwenye hizo asilimia kwa kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu ww hujamuelewa alie fanya utafiti ndio maana amesema hampo machure , kwa hili pia bado hujawa machure pia, kwan kasema ni asilimia 85, mm mke wangu na mama angu hawapo kwenye hizo asilimia kwa kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
Maturity is not determine by age rather than responsibilities

Unaweza ukawa mwanaume wa miaka 40 au 50 lakini hujui wajibu wako upo upo tu watu kama hao tunawaweka kwenye kundi la watoto, mwanaume ambae mpaka umkumbushe wajibu wake katika familia

Na kuna watoto ambao they are below 18 ila they are responsible enought to take care of what evver aituations comwa their way

Maturity ya akili inapimwa na uwezo wa mtu kupambanua mambo na kufanya maamuzi especialy katika jambo linalohitaji maamuzi ya haraka

Unaposema wanawake akili zao hazipevuki sio kweli..mtu ambae akili yake haijapevuka ni mtoto mdogo ambae lazima kila kitu apewe mwongozo na ndio maana anitwa mtoro.labda ungesema yale madhaifu ya kimaumbile ambayo tumeumbwa nayo kama kuonhozwa na emotions to which is nature



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Possibly kama sio wa mtaani basi amelelewa na strangers ambao hawawezi kumpa mapenzi kama ambayo angeyapata kwa mama

Na mtu wa namna hiyo hawezi kumpenda mke au kuwaheshimu wanawake atakua anawamdharau

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo baba hawezi kumlea mtu... Naona unakwepa kwepa et strangers[emoji1781][emoji1781]

Tatizo una panic sana na hilo halibadilishi ukweli

Nyie mmetoka ubavuni hamuwez kuwa sawa na wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah mwanaume ni mwanaume na sisi ni wasaidizi wenu..ila hiyo haitufanyi kuwa hatuna akili au akili zetu hazipevuki...Mungu ameumba kwa utashi wake na mwanaume ameumbwa kuwa kichwa na kiongozi wa familia huku mke akiwa msaidizi..maana ya msaidizi ni mtu aneweza kufanya yale ambayo wewe huwezi au anaweza kufanya baadhi ya mambo kwa niaba yako au mnaweza kushirikiana kufanya maisha yakawa mepesi

Kwa maana hiyo kuna mambo ambayo sisi wanawake kwa nature yetu hatuwezi kufanya bila mwanaume na vice versa is true

Life becomes perfect pale ambapo mume anajaziliza mapungufu ya mke na mke nae anabeba mapungugu ya Mume

Siamini kama Mungu anaweza kukupa msaidizi ambae fikra zake hazipevuki...huyo atakua sio msaidizi bali mzigo
Kwaiyo baba hawezi kumlea mtu... Naona unakwepa kwepa et strangers[emoji1781][emoji1781]

Tatizo una panic sana na hilo halibadilishi ukweli

Nyie mmetoka ubavuni hamuwez kuwa sawa na wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

 
Tatizo unakuta mtoa Mada hajawahi kuishi na mwanamke either Mke au Mama yake then akaona power ya mwanamke
Aisee Mwanamke ana power kubwa sana ni zaidi ya akili za kwenye ubongo
Why do you glorify women so much.They are not special in any way,infact we men are unique in some very key areas. Yes,they have some strengths in some areas,that is why we have to complement each other.
You can follow the following link for more information on this subject.


https://www.psychologytoday.com/us/blog/hope-relationships/201402/brain-differences-between-genders
 
Ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningefurahi Kama ungejibu hoja kwa utafiti.
Vinginevyo Ni povu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…