ubize unaniponzamwenzenu

ubize unaniponzamwenzenu

Napata shida kidogo kuamini ukweli wa hii thread kwa sababu;

Mtu ambaye yuko busy sana kama wewe unavyotaka kuliaminisha jukwaa sidhani kama anaweza kuwaza hadi kufikia kuandika na ku post thread ya namna hii siku ya kazi kama jumatatu na mbaya zaidi mchana kweupe kama ulivyofanya wewe.

Hii tu inanifanya nikuelewe tofauti na andiko lako, mimi nadhani wewe hauko busy kihivyo ila labda unaweza ukawa hujui/huwezi kuwaface ana kwa ana wenzetu wa upande pili ili kuzungumzia mambo ya mapenzi na hatimae uweze kupata mwenza. Na kwa vile huwezi/hujui thus why umeamua kutumia hii njia ya jf, poa lakini umeficha kitu, maana utawafanya wasijitokeze maana kama kweli utakuwa very busy to that extent you are saying utawafanya waogope, maana na wao wanahitaji mapenzi ya dhati, kitu ambacho kwako wanaweza kukikosa coz you are so busy. ombea upate anae penda mtu wa aina yako, lakini huenda huo naye anaweza kuwa anapenda kuchepuka nje ya ndoa/mahusiano, atakutesa.

Ni mtazamo wangu tu, sio lazima kuwa nitakuwa sahihi.
Hata mimi nimeshangaa huu ubusy mpaka ana nafasi ya kuenda kutafuta dada poa. Kiukweli pengine nina tatizo la kuelewa maana hainiingii akili. Ina maana sehemu anayofanya kazi yuko peke yake au. There must be something behind the scene. Anyway Mkabidhi Mungu haja zako zote nae atafanya kikubwa uwe na subira kaka.
 
Ubize wangu unanifanya mpaka sasa mwaka wa pili simjui mpenzi.hata muda wa kumtafuta sina ila namkumbuka wakati wa kulala ishafikia wakati nika taka take away women kwa road

Duh kwa mtindo huu ukioa wenzio watakumegea
 
endelea kuwa busy mwana...hawa wanawake ni wakugegeda tuu na sio kuwa wapenzi...saka hela au elimu kaka...papucchi for sale so utazipata tuu

Hayo sio maneno mkuu. Ukisema ivo utakua uankosea cz dada ako na mama ako mkubwa au shangazi yako na bibi pia wamo humo ulimosema. Bila kumsahau mama ako. Unapomsema mke wako au hawala yako maneno mabaya ukijumuisha neno wanawake, unawaweka na hao watu nliowataja hapo juu.
 
bize ndo wapi huko..? na pia unapanda basi gani mbona sijawahi kufika huko mie..eeehhh..!!!!!
 
Hayo sio maneno mkuu. Ukisema ivo utakua uankosea cz dada ako na mama ako mkubwa au shangazi yako na bibi pia wamo humo ulimosema. Bila kumsahau mama ako. Unapomsema mke wako au hawala yako maneno mabaya ukijumuisha neno wanawake, unawaweka na hao watu nliowataja hapo juu.

sikatai...kwani hau uliowataja papuchi sio for sale wee vipi? hamna mwanamke utakayeweza mpata bila kuwa na hela wewe....mama mzazi na mama yangu mkubwa wameniambia hilo...sasa huoni kuwa coming from a woman that means ni kweli
 
Back
Top Bottom