[emoji57] [emoji57] huna aibu huna hata sifa ya mwanaume na unajicfia kuwa ulikua unampotezea kwaiyo baada ya kukuta papuchi zingine n garama ndo umemkumbuka binti wa watu shame on you umehaeibu ckuKama kichwa kinavyojieleza, alinipigia simu Mara kadhaa sikuwahi kupokea, na kutuma text zisizojibiwa, sijawah kumcare ila binti anamapenz ya kwel.muda mwingi ameupoteza kwangu na alikuwa akinipa bure penzi lake,,,, nifanye nini aelewe ninampenda hata kama ametoa ujauzito?
Hili suala linanyima usingizi,,,,
Tuanze na tatizo la usingizi, kunywa valium mkuuKama kichwa kinavyojieleza, alinipigia simu Mara kadhaa sikuwahi kupokea, na kutuma text zisizojibiwa, sijawah kumcare ila binti anamapenz ya kwel.muda mwingi ameupoteza kwangu na alikuwa akinipa bure penzi lake,,,, nifanye nini aelewe ninampenda hata kama ametoa ujauzito?
Hili suala linanyima usingizi,,,,
[emoji23][emoji23][emoji23]Huongei nae ktk sim wala hujibu sms zake, kisingizio "uko bize", hata akikukubalia utajuaje