Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,688
watu wengi wanaweza wakadhani kuwa ubitozi ni kitu kibaya, kumbe ubitozi ni usafi tu wa mwili, na mazingira na utanashati kwa ujumla.
Kuwa bitozi sio lazima uwe na hela nyingi sana wala sio lazima uwe na nguo nyingi sana.
Ni suala tu la kuamua kuwa msafi mazima.
Pichani ni picha yangu nilipokuwa na miaka mitano.
Kina dada naomba msianze kunitamani
na hii ilikuwa lini?....
Na hii ilikuwa lini?....
Jamaa ana Tommy Hilfiger na miwani ya blue, kweli huyu mkinga
Its very funny mma po ndisi lelo hapo ulikuwa kandete kwa babu yako?
Afu ughwe ladyfurahia nu ndumegho Mentor mulile ing'ombe syangu afu mukunnketa itolo Asnam bhuno ikundamya
Kumbe na wewe ulikuwA nyangema.
Hapa ndipo pa kukumbukana, tushikane mikono na tusiachane kwenye kile kidogo tunachokipata
Afu ughwe ladyfurahia nu ndumegho Mentor mulile ing'ombe syangu afu mukunnketa itolo Asnam bhuno ikundamya