ukweli100%Kwa hilo siyo maajabu. Yaani zile dawa huku zinawekwa kwenye meza tu. Hata siku ya kuletwa huwa ni moja tu na wafuataji unakuwa unawaona tu. Na wagawaji wanakaa siku mbili hadi mwezi keaho. Kwa hiyo si kila sehemu arvs ni siri
alicho ongea jamaa ni kweli mkuu siku hizi watu hawajifichiutakuwa uliona igizo la bongo movie ndo wana matukio ya namna iyo ila kwa hali halisi jumlisha uelewa wetu mdg UKIMWI hauji fika iyo hatua ya kuombana dawa.
watu wanasafiri kufuata dawa mkoa/wilaya jirani ili kuficha kama amewaka iwe kuombana dawa iyo uliona kwenye bongo movie
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Pita naye alafu mkimaliza muombe vidonge nane uvimeze mara tatu utakuwa fit.
Hilo la kuombana dawa ni kawaida kabisa. Labda nikutokana na mazingira. Ile ya fata wewe tuje tugawane zako na mimi nikileta tutagawanautakuwa uliona igizo la bongo movie ndo wana matukio ya namna iyo ila kwa hali halisi jumlisha uelewa wetu mdg UKIMWI hauji fika iyo hatua ya kuombana dawa.
watu wanasafiri kufuata dawa mkoa/wilaya jirani ili kuficha kama amewaka iwe kuombana dawa iyo uliona kwenye bongo movie
labda makete huko ndo kawaida yenu huku kwetu ni ajabu hilo. alafu dawa huwa ziko tofaut unazo tumia ww mm zinaweza nidhuru asa naomba vp?Hilo la kuombana dawa ni kawaida kabisa. Labda nikutokana na mazingira. Ile ya fata wewe tuje tugawane zako na mimi nikileta tutagawana
we kweli Bahariakweli mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewe kijana wa kiume usitamani mbunye usiyojua historia yake...
Kuchomeka chomeka hovyo mtaishia kuzamisha mashine zenu kwenye mzinga wa nyuki wadogo...
dah mkuu ndo watu wanaohitajika kwenye hii duniaNami nilinusurika hivyohivyo miaka mingi kabla sijaachana na ujana wa hovyo.
ILA MPAKA LEO SIAMINI KAMA YULE BINT NI MGONJWA,NI MZURI JAMANI..MREFU,MWEUPE,ANA SHAPE, SURA NZURI NA ANAONYESHA HAJATUMIKA SANA.
NILIKUWA NAMFANYA KILA KITU IKIFIKIA KUTAKA KULA MZIGO DEMU ANAGOMA.MWISHO WASIKU AKANIAMBIA NAFANYA HIVI KWA FAIDA YAKO NAKUPENDA SANA.Ooo nikaelewa.Hata sikumuuliza sana nikamuuliza tu ULIUPATA UKUBWANI AU ULIZALIWA NAO.Akaniambia kunabwege alimuambukiaza,aliumwa sana Huyo jamaa akagundulika mgonjwa,na yeye kwenda kucheck akakutwa nao.ALINIOMBA SANA NISIMUACHE JAPO AMEATHIRIKA,NIKAMUAHIDI HIVYO NAKWELI NILIKUWA NAMSAIDIA KAMA NDUGU/RAFIKI LAKINI YEYE ALITAKA NIEENDELEE KUWA MPENZI KITU AMBACHO MOYO ULIKATAA.
MPAKA SASA YUPO KWAO MWANZA HUKO.LAKINI NAVYOMJUA NI MTULIVU HAWEZI KUAMBUKIZA WENGINE MAKUSUDI.