Ubishi na tamaa vilitaka kuniponza!

Ubishi na tamaa vilitaka kuniponza!

Una uhakika gani, jaribu kwanza ili kupata uhakika, alafu
Njoo utupe mrejesho kama kweli kananilii
 
Ewe kijana wa kiume usitamani mbunye usiyojua historia yake...

Kuchomeka chomeka hovyo mtaishia kuzamisha mashine zenu kwenye mzinga wa nyuki wadogo...
Wakatii mbayaa Sanaa huu vijana wenzanguuu
CHUNGA SANA ZIPU YAKO USIIFUNGUE HOVYO HOVYO
 
siku hizi HIV imekuwa rahisi ivo hadi vidonge viwekwe peupe ivo yaani unaingia chumbani unavikuta (kwamba ni mapambo).

akanambia ana HIV kwamba unyanyapaa umeisha kiasi hicho hadi akwambie kizembe ivo.

kifupi unamtaka sema una hofu anaweza kuwa kawaka ndo unaleta stori kujifariji
Mkuu Ni wewe tu na unyanyapaa wako.
Watu wanaombana dawa pale mwingine anaposahau ndio uogope?
Amka mkuu, ukimwi sio kifo.
 
Kwa hilo siyo maajabu. Yaani zile dawa huku zinawekwa kwenye meza tu. Hata siku ya kuletwa huwa ni moja tu na wafuataji unakuwa unawaona tu. Na wagawaji wanakaa siku mbili hadi mwezi keaho. Kwa hiyo si kila sehemu arvs ni siri
siku hizi HIV imekuwa rahisi ivo hadi vidonge viwekwe peupe ivo yaani unaingia chumbani unavikuta (kwamba ni mapambo).

akanambia ana HIV kwamba unyanyapaa umeisha kiasi hicho hadi akwambie kizembe ivo.

kifupi unamtaka sema una hofu anaweza kuwa kawaka ndo unaleta stori kujifariji
 
Mkuu Ni wewe tu na unyanyapaa wako.
Watu wanaombana dawa pale mwingine anaposahau ndio uogope?
Amka mkuu, ukimwi sio kifo.
utakuwa uliona igizo la bongo movie ndo wana matukio ya namna iyo ila kwa hali halisi jumlisha uelewa wetu mdg UKIMWI hauji fika iyo hatua ya kuombana dawa.

watu wanasafiri kufuata dawa mkoa/wilaya jirani ili kuficha kama amewaka iwe kuombana dawa iyo uliona kwenye bongo movie
 
Usimwamini mwanamke hata siku moja kama sio mama ako mzazi,
Sema na wewe kuna mambo unayatafuta kwani kila mkali unayemuona vijana wanamhangaika lazma na wewe uingie kwenye ligi?
 
Kama anatokea Kyela siwezi kubisha maana nmeishi huko kwa miaka 2 ni kweli huko wengi wameungua sio watoto au wakubwa
 
Back
Top Bottom