Kwanza tufahamu maana ya neno fake, na maana ya neno BELOW STANDARD, hapo ndio tutajua tunabishana kuhusu nini. Ukisema tecno Ni fake basi Kuna original iliyoigwa. Otherwise tuongelee STANDARD
Watu wengine bwana, mimi nimesema tuache porojo tutoe vitu kwa ushahidi na sio kukisia na kusema tu.
mkuu snipa nakuheshimu sana, Lakini hawa jamaa Antutu nawaheshimu zaidi.
Kuna nchi hawajui hata kuna simu zinaitwa tecno. Na wengine wanezipiga marufuku kuuzwa nchini kwao.
Techno ni simu nzuri zina uwezo mkubwa kuliko Hata simu nyingine ninazo zifahamu. Shida ya sisi watanzania ni malimbukeni tunapenda sana product yenye advertise nyingi kwenye media. Tunakaa kama wazee wazamani
ubora wa simu ni pafomansi hebu install game mbili zenye mb zaid 40. Ala fungua moja minimize kwa kutumia home batani alafu fungua na lapili kisha cheza hilo ame la pili ilihali lile la kwanza umeliminimize utaniambia mwenyewe. Kama una tekno usije ukafanya hivyo itakustakia bure
Naomba uniwekee Jina la Kampuni au makampuni yanayofanya vema ktk utengenezaji wa simu.
Watu wengine bwana, mimi nimesema tuache porojo tutoe vitu kwa ushahidi na sio kukisia na kusema tu.
mkuu snipa nakuheshimu sana, Lakini hawa jamaa Antutu nawaheshimu zaidi.
I hate people wanaocompare mambo kisa inferiority zao... Huwezi kucompare Samsung na Tecno Eti kisa Zinaweka App Zinazofanana
Mtaalamu hawezi akafanya Jambo hilo.. maana Simu zote zinafeature nyingi zinazofanana. Ukiweka Eti zina App zote unaonekana wa Ajabu kama Simu zote zinapiga Simu. Kama Kutuma message zote zinatuma. Ila Si kigezo cha Kusema Zinafanana.
WATU HAWAFANANISHI SIMU KWA SOFTWARE WANAFANANISHA KWA HARDWARE ZILIZOPACKIWA KWENYE SIMU NA TECHNOLOGY ILIYOTUMIKA.
TECNO INA CHEAP TECHNOLOGY NA INALAGGY ZA KUTOSHA.. Hebu jaribu kucheza Game kwenye S4 halafu liweke kwenye p3 yako uone tofauti..
Sisemi kwamba tecno Ni bora au so bora. Lakini kupiga marufuku bidhaa pia inaweza isiwe kwa sababu ya ubora mbovu. Bali inaweza kuwa Ni mambo ya kiuchumi nk. Pia Kuna Simu nyingi ambazo zinajulikana Tu baadhi ya nchi. Simu kama GIONEE, KAZAM TROOPER nk.
Phantom z mini imeizidi Samsung s4 kila kitu
Thread za kuifananisha Samsung na Tecno ndo maana Chief Mkwawa alisema hatogusa kabisa. Hata mimi namuunga mkono, ni ukosefu wa akili kulinganisha Tecno na Samsung, LG au Sony!!! Wakati hao Tecno hata Huawei hawaifikii.
Yani unataka kila kitu Utafuniwe?
Umewekewa majina ya simu hapo, sasa unataka majina ya makampuni pia?
Yani Unauliza EMBE Kibada.
Ata mimi nakuheshimu sana mkuu wangu.
Lakini ulichokifanya hapo nadhani haukielewi, wewe umelinganisha category ya simu, lakini sio kampuni husika kwa ujumla, sales za mwaka huu bado sijaziona ila angalia sales hizi world wide za 2014.
ukija kwenye Q4 high end sales ndipo utamwona Xiaomi kakaa nafasi ya 5.
Nazani umenielewa.
Unazungumzia sales za china !
Ni sawa na bongo TECNO anavyokimbiza kuliko samsung, lakini hatuwezi kusema Samsung sio bora.
Xiaomi anakimbiza china kwasabu anatengeneza baadhi ya simu kwa MediaTek nakuziuza bei rahisi, ndomana anakimbiza sana kuliko samsung.
Lakini angalia world wide sales kama Xiaomi atakaa ata kwenye top 5.
Baadhi ya simu za Xiaomi zimekua targeted kwa watu masikini, kama wanavyofanya Tecno Africa.
Tatizo umetuwekea popularity sio performance wala sales, kiujumla hizo data haziwezi kuwa valid kwa kinachozungmziwa hapa, na wala usitake kuwabeat watu with senseless facts,
Xiaomi HM note ni cheap priced ndomana imekuwa popular, tena mpaka sasa inatumia Jellybean, wenzao wapo Kit kat na lollipop.
Angalia hapa kama Xiaomi wapo.