OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Jk aendelea kuivuruga CCM katika uchaguzi huu kwa Ubinafsi, wivu na majungu.
1).kikwete amempa kijana wake aitwaye Miraji tenda ya kuprint tshirt zote za kampeni, hii imesababisha mvutano mkubwa wa kimaslahi na hasa baada ya kuonekana upendeleo wa dhahiri katika tenda hiyo.
2).UVCCM waliomba milioni 500 kwa ajili ya media coverage kipindi chote cha kampeni,badala yake Akina Nape na Mangula wameipa kazi hiyo clouds, hii sio tu dharau kwa jumuiya nyeti kama hii ndani ya chama chetu bali ni udikteta na umungu mtu ndani ya CCM kuendelea kushamiri.
Badala UVCCM kupewa kiasi hicho cha pesa kwa ajili ya kampeni, amepewa Ruge kwa kuwa yupo karibu na familia ya Kikwete afanye kazi hiyo ya kampeni kupitia clouds huu ni mwendelezo wa dharau za Kikwete kwa CCM
CCM ya leo ni ya Ridhiwani, Kikwete na mama Salma hii ni aibu kwa chama kikubwa kama hiki na haijawahi tokea tangu CCM izaliwe
Kikwete anapaswa kufahamu CCM ni mali ya wanachama wote na uenyekiti wake una mwisho.
Ila kwa kuwa watanzania wengi ni malofa na wapumbavu kama alivyosema mkapa jana jangwani CCM itaendelea kuongoza daima
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI AFRIKA