Ubinadamu kweli kazi

Poleee alikuwa na ww kwasababu ya shida zake.
 
mapenzi ya chuo mara nyingi huwa yanaishia chuo, we unataka semister ziendelee hadi mtaani haipo hiyo....
 
Kama unaamua kumsomesha/Kumpa msaada wa kielim binti umpendae hakikisha mnafunga ndoa kwanza au anakuzalia mtoto ili baadae akiamua kukutema elimu yake itamfaa mwanao.Mi nilifanya hivo.
 
mla vya mwenziwe na vyake pia huliwa....................!!!
 
Tatzo la wanaume walio weng n hil,mtoto aliyemaliza form six na kuingia chuo,huyu bado ana cognitive changes,unataka kumfunga nyororo ya mahusiano,eti nataka kumuoa na ndo mahusiano yke ya kwanza,unajidanganya ,mwenzio anataka ajue dunia ina rang ngapi?
 
Pole sana an za maisha mapya
 
Inabd tujifunze ss,cimpigii mtu debe lkn huu n ukwel kwamba wadada 30+wameona meng na is real kwamba akil zao zmekomaa na wanaweza kudebt the promise japokuwa cio wte,cku zote samaki mtamu n yule aliyekomaa gamba zake,WADADA 30+mm nawakubal sna.
 
Ukweli amenichanganya siamini kama watu wanabadilika kiasi hiki,yaani hatujawai kugombana at a cku moja!

Mtu yeyote anaweza kufanya kitu chochote wakati wowote bila kujali chochote!
 
Jaribu kumtafuta ili muongee nae, muombe awe muwazi na wewe kubaliana na ''UKWELI'' atakaokuambia.
 
Apokei cm hajibu SMS nitaongea nae wapi Mkuu?
 
alitafuta wa kumpa sapoti ya vitu vidogo vidogo akiwa chuo pengine kuna mapungufu hajayapenda ndo maana ameamua kupita iviii na ww pita vileee!
 
Kuelimisha mwanamke ni kuelimisha jamii
1. Elimu uliyomsaidia akaipata kuna siku itamfaa mtoto wake nk. Utakuwa umechangia kusaidia jamii

2. Sasa tafuta mwanamke aliyehitimu tayari. Inawezekana ukafaidi "alichotunza" mwenzio pia.

3. Inawezekana ela ulokuwa unampa ni 1/10 ya mahitaji yake... jiulize 9/10 alikuwa anapata wapi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…