Ubia Gest House Riverside Ubungo Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubia Gest House Riverside Ubungo Dar

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by pilau, Aug 19, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nafasi inatolewa kuingia ubia na Mtu yeyote kukarabati Nyumba ya vyumba 13 ili ifanye biashara ya Gest House. Nyumba ipo karibu kabisa na Baa ya Riverside, Chonya, na Kinyaia kwenye barabara ya Mandela karibu na kituo cha mabasi cha Riva. Ukitaka kufanya ubia huu tafadhali nitumie Private Message (PM) mimi Pilau hapa JF. Asante.
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mzee wa pilau aka kanda za mambo yetu yaleee
   
Loading...