Mkataba hutegemea aina ya gari, na ubora wake ambapo ndio kigezo kitakachotumika ktk muda wa ukomo wa mkataba huo.
Mfano IST mpya hesabu ya mkataba ni 170k had180k kwa wiki hudumu kwa miaka miwiki na nusu.
Passo- mpya hesabu huweza kuwa 160- 170k kwa miaka miwili.
Na hesabu ya kawaida isiyohusisha mkataba wa makabidhiano ya moja kwa moja huweza kuwa 130k hadi 140k kwa wiki
Note: ikumbukwe ktk hesabu ya kawaida service ni juu ya mmiliki wa chombo
Ila mkataba service inamhusu dereva