cyrillionaires
Member
- Oct 25, 2012
- 67
- 53
- Thread starter
-
- #21
Tembelea ofisi ndo itakuwa rahisi zaidi kusaidiwaMkuu habari za muda
unaweza nipatia mawasiliano yenu kwa hapa Tanzania, maana 0759842044 haipatikani...., thanks.
Ungetembelea ofisi ili kujua kama kweli ni uzembe wa madereva au wewe binafsi, sometimes kwa tatizo kama lako huwa unapewa bonus kwa safari zitakazofuata kama njia ya kurudisha nauli uliyokatwa isivyo stahili ila kujua kiundani Tembelea ofisi zaoUber mnakera
Kuweni serious
Kwa nini unapoita Uber,na uka cancel safari,mnakata 3000,nimeshakatwa mara mbili,bila kutumia huu usafiri.Mnatukatisha tamaa,mnatufanya tufikirie kufuta App ya Uber,na wapo watu wameshafuta kwa huku kujikuta ana deni bila kutumia huduma.Hiki kipengele cha kuchajiwa kwa ku cancel trip,kiondoeni.Kwa maana waweza agiza gari ikachelewa kuja,ukapata nyingine,kumbe ile ya mwanza inaandika deni.Ungetembelea ofisi ili kujua kama kweli ni uzembe wa madereva au wewe binafsi, sometimes kwa tatizo kama lako huwa unapewa bonus kwa safari zitakazofuata kama njia ya kurudisha nauli uliyokatwa isivyo stahili ila kujua kiundani Tembelea ofisi zao
Gharama itakuwa .kubwa sana wengi hawezi ku affordHongera wakubwa..labda baadae mnaweza mka expand services... Mkaanza kupiga routes ndefu mkikaa pale ubungo kuna wanaoachwa na ma basi, mnaweza mkachukua wajipange labda watatu au wanne muwapeleke mikoani...
Zingatieni usalama lakini....
Na mimi hii imenitokea Dec 27, niliomba usafiri kutoka maeneo ya mikocheni, gari iliyokuja imechoka na haina A/C, nilipokataa nilichajiwa elfu tatu, mnatakiwa muwe na std ya magari yenu.Kwa nini unapoita Uber,na uka cancel safari,mnakata 3000,nimeshakatwa mara mbili,bila kutumia huu usafiri.Mnatukatisha tamaa,mnatufanya tufikirie kufuta App ya Uber,na wapo watu wameshafuta kwa huku kujikuta ana deni bila kutumia huduma.Hiki kipengele cha kuchajiwa kwa ku cancel trip,kiondoeni.Kwa maana waweza agiza gari ikachelewa kuja,ukapata nyingine,kumbe ile ya mwanza inaandika deni.
Umefiria kuwa unapo cancel isivyo stahili unampotezea muda na kipato dereva ambae kajaza mafuta na tayari yuko njiani? Unapigwa fee ya cancelation kwa sababu nyingi kwa maelezo zaidi unaweza soma kwenye website yao na kama kuna umuhimu wa kucancel na si kwa uzembe wako unaweza kumtaarifu dereva wako ili akusaidie usikatwe..Kwa nini unapoita Uber,na uka cancel safari,mnakata 3000,nimeshakatwa mara mbili,bila kutumia huu usafiri.Mnatukatisha tamaa,mnatufanya tufikirie kufuta App ya Uber,na wapo watu wameshafuta kwa huku kujikuta ana deni bila kutumia huduma.Hiki kipengele cha kuchajiwa kwa ku cancel trip,kiondoeni.Kwa maana waweza agiza gari ikachelewa kuja,ukapata nyingine,kumbe ile ya mwanza inaandika deni.
You've got to be kidding me! Simple issue ya kurespond via email or text unataka nije ofisini kwenu!Ungetembelea ofisi ili kujua kama kweli ni uzembe wa madereva au wewe binafsi, sometimes kwa tatizo kama lako huwa unapewa bonus kwa safari zitakazofuata kama njia ya kurudisha nauli uliyokatwa isivyo stahili ila kujua kiundani Tembelea ofisi zao
Dreva bado yuko kwenye mataa ya Morocco toka nimuagize,hajafika kokote,na ndio alikuwa hapohapo nilipo mriquest,iweje nimlipe 3000,na hajasogea kokote,ongezeni mda wa kulipa cancelation,kama dakika 15.Umefiria kuwa unapo cancel isivyo stahili unampotezea muda na kipato dereva ambae kajaza mafuta na tayari yuko njiani? Unapigwa fee ya cancelation kwa sababu nyingi kwa maelezo zaidi unaweza soma kwenye website yao na kama kuna umuhimu wa kucancel na si kwa uzembe wako unaweza kumtaarifu dereva wako ili akusaidie usikatwe..
N.B: Una dakika 5 tangu unapoomba usafiri za kucancel pasipo kutozwa fine, baada ya hapo ndo cancelation fee inahusika
Gharama itakuwa .kubwa sana wengi hawezi ku afford
Uber pia,app yao iwe na uwezo wa kusearch na kupata gari hata ukiwa nje ya jiji la Dar.Kwa mfano umesafiri nje ya Dar,na unataka kumtafutia Taxi mke,watoto au jamaa,kama mama,baba ambao ni watu wazima na hawana simu ya smartphone.Huwa nawatafutia sana hawa ndugu na jamaa,nikiwa nje ya Dar,lakini app hii Mpya,waliyo update,ina tabu sana.Kumbuleni,mteja wenu,anaweza kusafiri akawa nje ya Dar,lakini ameacha familia yake Dar,na anataka kuwatafutia Taxi.Na pia kuwe na uchaguzi wa aina ya gari ya kukodisha,wakati mwingine,kuna abiria zaidi ya wanne,kuweko na gari za abiria zaidi ya wanne.Kwenye Windows Phones, application yenu inaishia tu kwenye verify mobile. Verification code sjui hata sehemu ya kupata,
kama hua mnatuma hua sipati hizo code.