Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

Duh mbona povu hivyo? Usihofu bajaj hamtakosa wateja. Inaonesha hata kusoma hujui,haya nakuwekea hapa chini.
 
Aya poa... Apo umekuja na evidence... Sio mbali ata bajj bei iyo iyo... Kama unakataa bac
 
Mmh kwa mie wa mikoani hata sielewi mnaongea kitu gani hapa, ngoja tu niende zangu kule siasani
 
Mmh kwa mie wa mikoani hata sielewi mnaongea kitu gani hapa, ngoja tu niende zangu kule siasani
Ukija mjini utaelewa au ukivuka boda. Jitahidi kabla hujavuka boda upitie Dar to avoid cultural shock huko uendako.
 
Kuna kipindi wanakuwa kwenye promotion ndo maana charges zinakuwa ndogo sana na kipindi hiki wapo kwenye promo i think leo inaisha......

Mimi mara nyingi natumia sana uber nishapata trip mpaka za 1500 kwaajili ya promotion na juzi hapa nilikuwa sehemu but kila nikiita uber naambiwa hamna mpaka baade ndo nikapata tena ambayo ilikuwa kwenye trip after kuisha ndo ikanifata mimi,nikawa naongea na dereva wa uber akasema kwa siku hiyo madereva wengi walizima data kwasababu ya promotion

Na kweli mimi nilichargiwa elfu 3 nikaamua kumpa 5000
 
Wewe Utakuwa unafanya biashara ya Bajaji au Bodaboda.

Naona umekosa Amani kabisa !!!
 
...hebu geukia mjini nisome dizaini ya hiyo jeans;
.dadeq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…