Sidhani kama Africa imechangia kwenye hiyo hasara.
Kwasababu Uber hawatoi magari ila wanatoa system ambayo haihutaji gharama kubwa kuisimamia.
Uber imeshaanza kupata wateja kila kucha hapa Africa. Ikiondoka wale washindani wao watachukua nafasi na kuitumia.