Usingetoa screeshort hiyo bei inayoonekana ndio mkataba wako huoMimi walishaniovercharge kama Mara tatu hivi...
Juzi nauli ulkuwa inasoma elf NNE mwisho naambiwa 17000
Siku nyingine elfu saba nakuja kuambiwa 26000
Siku nyingine elf Tano nakuja kuambiwa 12000
Kama kuna issue ya dk na kwa foleni za dar basi hii ni hatari sanaWatu wengi hawaelewi kuwa Uber inakuwa charged kwa Dakika na Kilometer
Na ndio maana pakiwa na foleni tu bei yaongezeka kila dakika.
Umbali pia huchangia MTU kaandika anaenda mbezi ila ni ndani ndani huko