Ubepari ndio system kamilifu

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Hata MUNGU mwenyewe alisema Mwanaume na atamtawala mwanamke huyo Mwanzo 3:16
Hii ina maana binadamu hatujalingana! Kuna mkubwa na kuna mdogo sasa sijui huyu mpuuzi anaeitwa Karl Marx alitoka wapi na sera zake za kipuuzi maskini wa MUNGU wajinga wengine kama akina Lenin, Stalin n.k wakaiga huo mfumo hivyo ukasambaa dunia nzima.

Ni mfumo mbovu sana kwani ndio ulioleta mungu watu na madikteta humu dunia. Wauaji kama Stalin, Mao, Plo pot, Mengstu haile Mariam ni waaumini wa ujamaa. Kwa kifupi socialism is dead wala hakuna mtu anaejitambua anaefanya huo upuuzi hata China wana shift mdogo mdogo mwishowe watakuwa perfect capitaliist kama wenzao Taiwan.

Binadamu tunatofautiana kimwili, kiakili, kimahitaji n.k hatuwezi kuwa sawa. Hatuwezi fikiri kitu kimoja hapa ndio utajua kwanini wapingaji wa sera za hawa waovu waliuawa sana.
Kwenye yenye mahitaji mbali mbali lazima watu watofautiane babu! Lazima uruhusu uhuru wa taasisi na mashirika kibao, lazima uruhusu free market, uhuru wa kidini, privatization, competition between private sector and public sector. Majembe Kama Deng Xiangping waliona mbali sana wakabadilisha sera za uchumi watuachia historia nzuri sana hawa "Hard reformer".

Kwenye ujamaa hakuna demikrasia yani ni mwendo wa ndio hata kama kitu hakifai. Ni mwendo wa kuabudu watu badala ya kuangalia reality ya kitu. GOD serve us...

Mfumo wa ubepari ndio mfumo perfect duniani na ulioasisiwa na MUNGU. Wazungu waliona mbali sana kwa sababu wana akili kubwa wao ndio waliooitengeneza hii dunia tuionayo sasa. Ukitaka demokrasia nenda nchi za ulaya na marekani uondoe zile za ulaya mashariki zilizokua kwenye USSR ila nazo zishaachana na huo upuuzi wa ujamaa.

Tunataka watu wawe huru, transparency iwepo mtu akitaka kumachana mkubwa iwe kitu cha kawaida kama watavyomchana Trump. Ili mradi tuu anafuata sheria na taratibu tulizojiwekea.
Kewnye jamii kubwa ya watu lazima tuwe na makundi mengi yenye fikra tofauti na hapo ndipo ujamaa unaponyima watu uhuru wao wa kuchangia kile wanachokiamini.

Hii mi communist ilivyo mijinga itajifanya ina MUNGU na kila jumapili inaenda kanisani sasa ni MUNGU wa aina gani huyo wanaemwabudu wakati maandiko yako yapo wazi kwamba binadamu hatulingani? Off course najua kwenye ujamaa hamna dini ila ujamaa unaundwa na watu hao hao tunaopishana nao kanisani! What does this mean?

Ni bora kutengeneza secular state huku watu wakibaki na uhuru wao wa kuabudu individually kile waaminicho na hapo ndio tunaona utamu wa upebari sasa.

Utawasiki watu wakisema eti mabari ni wanyinyaji nani kasema? kwani mtu akiwa na uhuru wake na kumiliki mali yake huo ni unyonyaji?
Kuna watu wezi kama wa system ya ujamaa? Maana najua watawala wenye vyeo vikubwa ndio wanaokula rushwa huku wale wadogo wakitandikwa ili kupata public sympathy kumbe uongo na unafiki?
Kewnye ujamaa hakuna chama pinzani wala yeyote au chechote kuichallenge serikali na hakuna uchaguzi hata kama upo ni kwao wenyewe sio kwa wale wengine! Thats is very bad kind of selfishness that GOD hate it! Ni lazima uwaangalie na wenzio sio ujifanye kama upo peke yako then leta competition na freedom watu wachague watakacho according to rule of law!
Go to hell socialism/communism you no longer wanted in our beautiful planet. Fu.*c Karl Marx and Lenin

Long live capitalism! your the father of democracy in this world.
Long live UK, US, France.



NB: Tunahitaji political, social and economic freedom. Tunataka freedom of mass media, privatization, competition in every aspect of human life.
Upuuzi wa ujamaa mwisho we are diverse community.
 
True ujamaa ndo chanzo cha uovu wote duniani, kwa kuyazalisha madikteta yote,hakuna udikteta kwenye ubepari,hakuna maendeleo kwenye ujamaa, ujamaa uleta zidumu fikra za MTU na sio watu.Umasikini wetu uliletwa na MWALIMU kwa kukumbatia ujamaa, ujamaa ni mfumo wa kuzalisha umasikini ktk jamii.Wajamaa uamini tajiri ni mwizi.Hata waanzilishi wake na wafuasi wake wangekuwa hai Leo wangeukana,binadamu wote si sawa hatufanani,nyuma ya tajiri mmoja kuna masikini 200 plus serikali nyuma yake,matajiri ndo uendesha nchi wanalipa kodi,mifuko ya jamii,Bima za afya,Tozo zote,kuanzia Sumatra,tfda,OSHA, fire,TBS,TRA hizo kwa uchache.Hivo ukimkomoa ili aishi kama shetani serikali ndo inayoathirika itakosa Tozo,na kodi kwa chain nzima,tajiri ana exposure uaminisha nje ya nchi mitaji yake, serikali ndo inakuwa looser sio tajiri,hakuna serikali yeyote yenye uwezo wa kumkomoa tajiri.Awamu ya kwanza kwa kutokusikiliza wasomi na washauri ikatuletea mfumo wa kishenzi wa kidhalimu wa kichuki wa kijamaa kwa kuwapora kuwaibia watu mali zao walizochuma kihalali kwa kujinyima tangu enzi za mkoloni, kwa vita feki vya mawazo ya kimasikini vya utaifishaji,Mungu akawalaani vyote walivyowaibia wananchi jasho lao vikafa kifo cha mende,vikawa vikiendesha kwa ruzuku ( kuficha aibu ya wanasiasa) dhidi ya maamuzi yao mabovu,ambao walikuja kuelewa wakiwa washachelewa sana,hadi wakaandika kitabu cha tujisahihishe.
 
Tukikubali Ubepari basi na fikra zake tusizibague kama vile USHOGA, ukikataa kipengele chochote katika system yeyote mfano Capitalism,communism or islam itakuwa haukuitendea haki au unasemaje mzee mwenzangu?
 
Ila mm ubepari sijaukubali katika maskhala ya economy, ubepari unamtazama mtu mmoja mmoja yaani mtu mmoja akifanikiwa et! ndio jamii imefanikiwa huu si upuuzi, na wala hautazami matatizo ya jamii kwa jicho la huruma bali hutazama kwa jicho la maslahi upuuzi mwengine huu.
 
Selfishness ni mbaya sana mkuu... Yes japokua tulikua ni taifa change basi waanzilishi wangeanza kuweka mifumo imara kwaajili ya uongozi wa nchi kwa mfano taifa la marekani tunaweza jifunza lilivyounda toka mwaka 1776 mpaka sasa tunaona foundation yake ilivyo nzuri huku wakibiresha na kuongeza mambo mapya ili kutengeneza kitu bora.
Huku bong baada ya kuupata uhuru ni kufuta vya vya upinzani na kusuka kitu cha kuwalinda watawala "Kulindana"
that is so bad kwa taifa linalokua kwa sababu mwisho wa siku watoto na wajukuu wanajifunza kwa wazee wao sasa watajifunza nini kama sio upuuzi wa wazee wao?

By the way sioni kitu special kwenye ujamaa Zaidi ya upuuzi tuu atakaeleta hoja eti ilikua ni njia ya kuwaunganisha watanzania wote nitapinga mfumo wa kijima ulikuwepo toka Enzi za mababu so hakukuwa na sababu ya kufanya hiyo kitu. Kilichopaswa kufanyika ni namna ya kulikomboa taifa.
Mataifa kibao ya kiafrika sio ya kijamaa lakini wana umoja mzuri so hoja yao hii ni potofu.

Ujamaa uwewaharibu watu na ni zao la waovu duniani. Kama akina Mugabe, Mobutu, Lenin, Trots, Stalin, Mao, plot, Josep Tito n.k
 
Tukikubali Ubepari basi na fikra zake tusizibague kama vile USHOGA, ukikataa kipengele chochote katika system yeyote mfano Capitalism,communism or islam itakuwa haukuitendea haki au unasemaje mzee mwenzangu?
Ushoga ni tabia IPO kwenye mifumo yote,hata kwenye nchi za kiislam,za kidikteta,kifalme ile ni tabia, sawa na wizi uongo nk huko haziko wazi Lkn vipo kwa idadi sawa tu na kwenye ubepali.tofauti huku halali kule haramu.
 
Bepari ndo akatwae kodi kubwa ambazo utumika kumsaidia masikini, kumbuka masikini si mzalishaji ye ni mlaji.
 
Ujamaa ulikufikisha wapi ndugu yangu hebu tuelezee.
Iwapo raia waliporwa mali zao na walihojiwa pindi walipokua na ukwasi wa kutishwa na wengine wakaikimbia nchi tueleze basi kulikoni kwenye ujamaa.
Vyama vya upinzani vilifutwa, mtu hukuwa huru kumiliki mali yako au kufungua biashara yako. Wewe unazungumzia kitu gani hasa ndugu?
 
Tukikubali Ubepari basi na fikra zake tusizibague kama vile USHOGA, ukikataa kipengele chochote katika system yeyote mfano Capitalism,communism or islam itakuwa haukuitendea haki au unasemaje mzee mwenzangu?
Hayo mambo hayapo kwenye mfumo wa wote a.k.a capitalism bali ni watu waliojiamulia tuu uchafu wao pengine kwa sababu uhur ni mkubwa zaidi.
Ila tuu nikuambie hayo mambo yapo hata huko kwenu, tuishie hapa.
 
mtoa mada itakua hukusoma kwa makini mawazo ya waanzilishi wa ujamaa. Hata huu ubepari unaoupigia chapuo sijui kama unauweza na mambo yake
 
Hakuna mfumo mbaya wala mzuri inategemea na hali na wakati. Kark Marx alipotabiri anguko la ubepari alikuwa sahihi isipokuwa mabepari walimsoma pia na kuamua kuupunguzia makali ubepari. Nyerere alipoanzisha Ujamaa alikuwa sahihi vilevile kulingana na hali ilivyokuwa baada ya uhuru.
 
Mtoa mada bandiko lako limekosa weledi kwa kushindwa kuzuia hisia zako za chuki dhidi ya mfumo usioupenda!!....

Kimantiki hata wewe ni dikteta unaogelea kwenye dimbwi la fikra za ubepari!!!....

Ili uzidi kujiongezea maarifa Jitahidi kuweka mihemko pembeni unaposoma au kujifunza jambo fulani!!!....

Kimsingi Hakuna mfumo unaojitegemea kwa kusimama wenyewe!!!....

Ndio maana unahitaji kuchanganya viungo mbali ili kupata chakula kamili!!!.....

Hakuna nchi hata moja kwa Ulimwengu wa Sasa unaopractice upebari wote na ujamaa!!!.....
 
Acha kufananisha ubepari na vitu vya kipuuzi mkuu logically hata katot kadogo katakushangaa.
 
Mfumo wa Ubepari unakufikirisha ili uishi.

Mfumo wa Ujamaa unasikiliza mawazo ya mtu mmoja tu (kiongozi) na unaua Ubunifu, katika mfumo huu makatazo ni mengi kuliko kujifunza mapya.
 
Hawezi jua akuishi enzi za diktekta mwalimu
 
Usoshalisti ni nadharia ambayo inahusu siasa na uchumi na kutaka njia kuu za uchumi ziwe na manufaa kwa jamii nzima; ili kuhakikisha hilo, inataka zimilikiwe na umma, dola au taifa.

Chanzo cha nadharia hiyo ni karne ya 18 kutokana na Vita vya uhuru wa Marekani na hasa Mapinduzi ya Kifaransa.

Zilitokea aina nyingi za
usoshalisti, kila moja ikiwa ya namna yake.

Muhimu zaidi ni ile
ya Karl Marx (1818-1883) aliyedai ukomunisti kuwa njia pekee ya kuleta haki na usawa.

Upande wa Afrika, mojawapo ni "Ujamaa" ambao ulipendekezwa na Julius Kambarage Nyerere (1922-1999), rais wa kwanza wa Tanzania, na ulipitishwa katika Tamko la Arusha.
 
Angeomba ushauri wa wakoloni jinsi ya kuwatawala waafrica asingefail tatizo alikuwa jua yote akaungua na jua.Asili ya mwafrica ni uvivu na uvivu ni sababu anazungukwa na vitu vingi vya bure hivo atoi jasho ili kuishi MAJI,kuni, nyasi za kuezeka,ardhi viko bure MTU anaweza ishu Bila kulazimika kutumia Pesa. Sasa Bila kumlazimisha MTU huyu either kwa kumuwekea mfumo wa mbinyo mfano kodi ya kichwa, nk hawezi Fanya Kazi,wakoloni waliijenga Africa kwa viboko ndo maana walifaulu,MWALIMU angetumia kiboko angafaulu kwenye uchumi. Ujamaa ni wachache kufanya Kazi kulisha wengi.Nyerere alipolegeza kamba kwenye mbinyo wa mwafrica kufanya Kazi ndipo uchumi ulipoanza kushuka angeshikilia pale pale aliposhikilia mkoloni angefaulu
 
Nyerere hajafanya chochote Zaidi kakopi upuuzi na mao ze dong china kama ulivyo anaupaste Tanzania acha kudanganya watu.
Unachokisemea wewe nenda nchi za America ya kusini huko naona wabuni mfumo wao ila ni ujamaa tuu ule ule sema wame fanya modification. kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…