Ng'wamagigisi
Member
- Jan 3, 2011
- 35
- 1
lipeni bwana! Aaaargh hata ingekuwa laki moja
Lipeni jaman na sisi 2some nafuu nyie sisi ndo tuna hemea mipila kabisa
Lipeni jaman na sisi 2some nafuu nyie sisi ndo tuna hemea mipila kabisa
sadaka namichango ya kijamii umeiacha wapi?kaka usikurupuke au mwenzetu ,ndiyo wale wale(familia za kifisadi) mimi mshahara wangu basic yake ni 420,000/=
420,000/= - PAYE (54600TSH)
- NSSF (42,000 TSH.)
-Chama cha wafanyakazi(12600 TSH)
- Skill Development levy(8400)
-(8%) Loan board.(33600 TSH.)
Balance:268800TSH
unga NUSU 500 x30 kwa mwezi=15000/=
sukari kilomoja 2000x5 kwa mwezi= 10000
Nauri daladala kwa mwezi 30000/=
matumizi madogo madogo ya nyumbani 5000x30 = 150,000
chumba mabibo mwisho (viwili) kwa mwezi 70,000 /=
Umeme kuchangia kwa mwezi 10,000/=
mtoto wangu anasoma shule ya kata , kwa mwenzi 1000x30 = 30,000/=
Matumizi yote ni 315,000/=
(Balance -matumizi yote) = 268800 - 315,000= -46200 TSH
Jamani hii pesa (-46200 TSH) naitoa wapi.
Halafu mkuu Mdunya unataka tukatwe laki moja na loan board?
kaka usikurupuke au mwenzetu ,ndiyo wale wale(familia za kifisadi) mimi mshahara wangu basic yake ni 420,000/=
420,000/= - PAYE (54600TSH)
- NSSF (42,000 TSH.)
-Chama cha wafanyakazi(12600 TSH)
- Skill Development levy(8400)
-(8%) Loan board.(33600 TSH.)
Balance:268800TSH
unga NUSU 500 x30 kwa mwezi=15000/=
sukari kilomoja 2000x5 kwa mwezi= 10000
Nauri daladala kwa mwezi 30000/=
matumizi madogo madogo ya nyumbani 5000x30 = 150,000
chumba mabibo mwisho (viwili) kwa mwezi 70,000 /=
Umeme kuchangia kwa mwezi 10,000/=
mtoto wangu anasoma shule ya kata , kwa mwenzi 1000x30 = 30,000/=
Matumizi yote ni 315,000/=
(Balance -matumizi yote) = 268800 - 315,000= -46200 TSH
Jamani hii pesa (-46200 TSH) naitoa wapi.
Halafu mkuu Mdunya unataka tukatwe laki moja na loan board?
mkuu Jangakuu, usitegemee mshahara kufanya kila kitu. Lazima uwe na vyanzo vingine. Hata wanaolipwa 1 mil anaweza kuainisha haya yote na pesa ikaisha. Miradi mkuu!
mkuu, sio kama hatutaki kufanya biashara tatizo mitaji mkuu , mishaara ni midogo mkuu, hauna hata cha kusave pesa yote inaishia kwenye matumizi ya kawaida mkuu.