Mwanaume kuandika neno tyu haipendezi

Dr Atom

Member
Oct 21, 2016
37
43
Imeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi hata mschana anaeniambia tyu hua namrekebisha aache
 
Ni kweli mkuu..umewasahau na wale wa xaxa, k, my, p, frexh
 
Imeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi hata mschana anaeniambia tyu hua namrekebisha aache
aisee kuna kijana mmoja aliniandikia hilo neno, na wakati huohuo kama jana yake kuna mdada mmoja alikuwa anajipendekeza kwangu wakati anajua mimi mume wa mtu...naye alinitumai hilo neno....ile meseji yake hata kujibu huyo kijana sikumjibu,....nilichefuka mno, nikaona kama nawasiliana na bwabwa vile.
 
Dooh, wa kiume wabakie kiumeni, na wa kike wabaki kikeni jamani, kukatisha maneno ni udemu kwa kweli, na mimi mtu akinitumia meseji kwa mtindo huo namwuliza UJAMBO MTOTO WA KIKE,
 
Sikuizi tunapaswa kuwachunga sana watoto wetu wa kiume, kuliko hata mabinti
 
Back
Top Bottom