Ubapa company

Ubapa company

bennyb

Member
Joined
May 8, 2014
Posts
31
Reaction score
4
jamani naombeni wanajamii forum tuliofanya interview pale ubapa kwa nafasi ya surveyors tarehe 1/9/2015 naomba atakayepata taarifa tujuzane kwani walisema wataanza kupiga simu kuanzia leo
 
Asante kwa taarifa ni kwamba kesho tarehe 3/9/2015 naona nimeitwa kwenye interview ya kuandika baada ya jana tarehe 1/9/2015 kufanya ya mahojiano
 
Asante kwa taarifa ni kwamba kesho tarehe 3/9/2015 naona nimeitwa kwenye interview ya kuandika baada ya jana tarehe 1/9/2015 kufanya ya mahojiano

Mungu akutangulie,.
 
Asante jaman nashukuru kwani tumeanza training kwa tuliochaguliwa
 
Back
Top Bottom