Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
SureHatutaki maridhiano ya kipuuzi sisi.
Turidhiane na nani? Mnaridhiana huku mwenzio kakutia kitanzi? Hawa nao wakae watulieUbalozi wa Sweeden kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii wameandika kuwa;
We stand behind the call for jusice and reconciliation built on collective and inclusive commitment to healing.
….
Tunasimama pamoja na wito wa haki na maridhiano, uliyojengwa juu ya dhamira ya pamoja na jumuishi ya kuleta uponyaji katika taifa ya Tanzania.View attachment 3499735View attachment 3499736
Ni vigumu sana wauaji kuwajibishwa na utawala wa sasa kwa sababu wao ndio wameuweka utawala wenyewe madarakani. Waliopo madarakani sasa hivi hawajayapata madaraka kwa sababu kura zimepigwa bali kwa sababu bunduki zimetumika kwa hiyo sidhani kama wataweza au wana moral authority ya kuwageuka na kuwawajibisha washika bunduki waliohakikisha wanabaki madarakani.Tulipofika maridhiano pekee hayatoshi bali kuwajibika pia na sio kwa watu kufukuzwa tu kazi bali na nyongeza ya vifungo...; sio tu upuuzi kama huu usijirudie rudie bali waliopoteza ndugu zao waone justice imetendeka
Siongelei kwa manufaa ya Watawala naongelea kwa manufaa ya Tanzania bila kufanya hivyo na kuonekana kwamba Haki imetendeka the Tanzania we know will never be the same again..Ni vigumu sana wauaji kuwajibishwa na utawala wa sasa kwa sababu wao ndio wameuweka utawala wenyewe madarakani. Waliopo madarakani sasa hivi hawajayapata madaraka kwa sababu kura zimepigwa bali kwa sababu bunduki zimetumika kwa hiyo sidhani kama wataweza au wana moral authority ya kuwageuka na kuwawajibisha washika bunduki waliohakikisha wanabaki madarakani.
Katika scenario gani unafikiri waliohusika na mauaji wataweza kuwajibishwa na haki ionekane iimetendeka??Siongelei kwa manufaa ya Watawala naongelea kwa manufaa ya Tanzania bila kufanya hivyo na kuonekana kwamba Haki imetendeka the Tanzania we know will never be the same again..
Kabla ya Uchafuzi wa tarehe 29 na mauaji nilimwambia mtu sasa hivi hakuna best case scenario ni cutting our losses na nikatolea mfano wa Humpty Dumpty kwamba sijui kama ameshavunjika (sababu akivunjika ni vigumu kurudishwa kama alivyokuwa) LAKINI SASA HIVI NINA UHAKIKA ameshavunjia.... Kwahio issue ni kwamba bila kufanya ninachosema huenda tukapotea kabisa.
View attachment 3499755
Moja kwa kutaka nchi iweze kutawalika na wao waweze kuendelea kula na kutafuna (walisahau jinsi ya kula na vipofu) inabidi walifanye hivyo (ili waendelee kula keki) kwahio wakae wenyewe hata kama ni kutoana kafara ila ionekane haki imetendeka.... Watu wapoteze kazi na kunyea debeKatika scenario gani unafikiri waliohusika na mauaji wataweza kuwajibishwa na haki ionekane iimetendeka??
Kwao CCM nchi itatawalika tu ikibidi hata kama Zimbabwe, Ethiopia au Venezeula. Kitendo cha wao kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja kwa 98% kuanzia urais,ubunge, udiwani mpaka serikali za mitaa kwa ukatili mkubwa sana na hofu kubwa kwa raia ina maana hawajali tena chochote wala mtu yeyote na wako tayari kwa lolote.Moja kwa kutaka nchi iweze kutawalika na wao waweze kuendelea kula na kutafuna (walisahau jinsi ya kula na vipofu) inabidi walifanye hivyo (ili waendelee kula keki) kwahio wakae wenyewe hata kama ni kutoana kafara ila ionekane haki imetendeka.... Watu wapoteze kazi na kunyea debe
Mbili CCM sio wajinga na wana-mtaji wa platform (UKWASI) ambao katika siasa sasa hivi bila kuwa na pesa huwezi kupata lolote; kwahio CCM watakuja kivingine kwamba makosa sio SISI ni WAO ambao tumewapiga chini - Walifanya hivi kina Blair na Brown kwamba hii ni New Labour ili kushindana na kina Conservative au ndio maana CCM ya JPM downtrodden waliipenda au alivyokuja Polepole na Story zake watu waliona ndio mkombozi - Hivyo kwa kifo cha CCM labda wenyewe kwa wenyewe wagombane na wagawane mbao na kutengana bila hivyo CCM is here to Stay....
For the sake of our country (Justice needs to be Seen it has been done) ili watu wapone na tuweze kuendelea na kesho; bila hivyo ni kufunika moshi na majani makavu
CCM is bigger than anyone kwahio usishangae huyu akatoka akaja mwingine na kujifanya mtakatifu aliyetoka akaandika kitabu cha kuomba msamaha na siku zikaendelea na definition ya kutokutawalika ni kwamba mambo hayaendi na hata walaji / walamba asali hawatalamba kwa urahisi (which is not good for them) - Wanasiasa ni wanafiki if they smell blood watachukua fursa na kutafunanaKwao CCM nchi itatawalika tu ikibidi hata kama Zimbabwe, Ethiopia au Venezeula.
NChi hii haina haki, polisi na vyombo vya usalama ndio watekaji, watesaji, na wauwaji, haki unaipataje au kwa nani.Tulipofika maridhiano pekee hayatoshi bali kuwajibika pia na sio kwa watu kufukuzwa tu kazi bali na nyongeza ya vifungo...; sio tu upuuzi kama huu usijirudie rudie bali waliopoteza ndugu zao waone justice imetendeka
Mimi naongelea what is should be, the only way forward wewe unaongelea what it is !!!NChi hii haina haki, polisi na vyombo vya usalama ndio watekaji, watesaji, na wauwaji, haki unaipataje au kwa nani.
Mahakama ndio sehemu yao ya kunyanyasa raia, kywabagaza na maranyingi kuwanyima haki, hiyo "justice" unaipata wapi, kutoka wapi au kwa nani?
Vita ni ipo kati ya ccm na wananchi tusio ma ccm, vita ipo kati ya vyombo vyao vya ulinzi na wananchi, haki unayoongelea unaipata wapi au kutoka kwa nani?
Mludanganywa "mtii sheria bila shuruti" waliotii wamepotezwa wengine kuuwawawa kabisa, bado unasema kuna vyombo vya usalama upate haki?.
Sasa wana target kila asiyewaunga mkono wamuue, wamkamate wa mtese na kumdharilisha hadharani ili kueneza uoga kwa wengine, haki uipate wapi.
Sasa hivi unatakiwa utembee na kisu, polisi akikusogelea mtandike, ukichelewa unatekwa na unapotezwa au kuuwawa.
Hivyo chakata ubonho wako uwe tayari kwa lolote muda wote.
Aliyesababisha tatizo hawezi kuwa ndiye mtu wa kulirekebisha, waliouwa au kusababisha nao wauwawe au wafungwe maisha.Mimi naongelea what is should be, the only way forward wewe unaongelea what it is !!!
Ni sawasawa mimi nakwambia bila kuvaa viatu hapa utakanyaga matope wewe unaniambia hauna viatu !!!!
Now unarudia nilichokisema mwanzo waliosababisha hayo wawajibike na ifanywe in such a way watu waone Haki imetendeka...Aliyesababisha tatizo hawezi kuwa ndiye mtu wa kulirekebisha, waliouwa au kusababisha nao wauwawe au wafungwe maisha.
🧐🧐🧐🤨Alipigwa risasi ya mbavu tarehe 29 ikampalaza akapona akapelekwa hospital ya bochi akatoka wakamfuata kwao kibanda Cha mkaaa . Kwa vile uvccm walikuwa wanapajua anapoishi usiku wa siku ya kwanza walipomkosa, kesho yake jioni akaitwa bondeni na jamaa yake alivyotokezea tu akapigwa risasi.watu walishuhudia Tukio like, ambapo wauaji walibeba mwili wake na kuuweka kwenye gari nyeupe ambayo ilikuwa haina plate namba.mpaka leo mwili wake haujapatikana"!!.Ubalozi wa Sweeden kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii wameandika kuwa;
We stand behind the call for jusice and reconciliation built on collective and inclusive commitment to healing.
….
Tunasimama pamoja na wito wa haki na maridhiano, uliyojengwa juu ya dhamira ya pamoja na jumuishi ya kuleta uponyaji katika taifa ya Tanzania.View attachment 3499735View attachment 3499736
Serikali ni ya samaki.Inakuaje balozi anatoa pole, serikali ipo kmy duh