PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Ubalozi wa Norway unatoa pole za dhati kwa wote walioathirika na matukio ya hivi karibuni nchini Tanzania.
Tunaungana na familia na jamii zilizopoteza wapendwa wao na pia na wale wote wanaokabiliana na changamoto za kipindi hiki kigumu. Fikra zetu ziko pamoja nanyi, na tunaheshimu kumbukumbu za waliopoteza maisha yao mapema.
Katika nyakati kama hizi, mshikamano na dhamira ya kusaidiana ni muhimu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Norway inasimama pamoja na Watanzania wote wakati taifa linapoendelea kutafakari, kupona, na kutafuta njia ya umoja na ustahimilivu.
__________________________
The Royal Norwegian Embassy wishes to express sincere sympathy to everyone affected by the recent events in Tanzania.
We are thinking of the families and communities who have lost loved ones and of all those coping with the impact of these difficult times. Our thoughts are with you, and we honor the memory of those whose lives were taken too soon.
In moments like these, the strength of solidarity and the commitment to support one another become more important than ever.
Norway stands in support of all Tanzanians as the nation reflects, heals, and seeks a path toward unity and resilience.