Ubalozi UK kuweni makini na matapeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubalozi UK kuweni makini na matapeli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, May 25, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  TUNAWAOMBA UBALOZI WA TANZANIA(UK)KUJIHUSISHA NA MAKAMPUNI YA KIHUNI KWA KUHUDHURIA PROMOSHEN ZAO NA HASA(SERENGETI FREIGHT)INABIASHARA HARAMU AMBAYO NI AIBU KWA UBALOZI.HUSUSANI NAIBU BALOZI KUWA MAKINI NA WAHUNI HAWA.TANZANIA ITALINDWA NA WATANZANIA:israel:
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii copy itabidi ipelekwe kwa wizara mambo ya nje,usalama wa taifa hususani othman,tbs,na zito kabwe kamati ya bunge
   
 3. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 912
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 60
  Kwanini wabongo tunapenda majungu na fitina?...acha kuwaharibia wenzako,ni biashara gani haramu wanayofanya serengeti?kwa jinsi unavyoonekana roho imekupinda ungekuwa unaijua hiyo biashara si ungekuwa umeshaisema hapa?
  badilika mtz,upo ulaya lkn unaleta mambo ya umbea umbea na hadithi za kutunga....unaonesha unaumia sana ukimuona chris ana drive range sport BWA HA HA HAA HA
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  balozi mwenyewme amesha nunuliwa.
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Biashara gani haramu?
   
 6. a

  andrews JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,245
  Trophy Points: 280
  Mtimti ni kweli, baadhi ya wabongo ni watu wenye wivu, chuki na umbea umbea tena hawa wa UK ndio wanaongoza!.

  Miaka ya nyuma katika kutafuta maisha, nilijaribu UK nikiwa na wife. Kiukweli sote tulifanya zile zile kazi za shuruba. Jumapili moja tukamtembelea Mtanzania mwenzetu na wife wake ambao walibahatika kupata twins. Tukiwa hapo nyumbani wakatembelewa na wadada wa kibongo wa London, tukatambulishwa na wote kuendelea kuwa wageni pale.

  Kwa vile mwenyeji hakuwa na msaidizi, ahudumie twins wake na kupikia wageni was just tuu much, wife ugeni ukamtoka, akaomba kanga akaingia jikoni kusaidia kupika. Baada ya kula akasafisha vyombo. Jioni akamsaidia mwenyeji ku baby seat wale twins ili angalau mwenjeji apate muda na wageni wake, wageni wale wakatangulia kuondoka sisi tukaondoka usiku.

  Kesho ya yake taarifa za uwepo wangu zikaenezwa jijini London kwa jamii ya Wabongo eti mimi na mke wangu tumekuja London kuajiriwa na yule rafiki tuliyemtembelea!, eti mimi ni house boy na wife ni domestic helper na baby sitter wa wale twins!. Nikaelezwa eti mtoa habarimpaka ameapia kwa jina la Mungu ameshuhudia wife akifanya kazi za ndani eti mimi nilizuga zuga sebuleni ili wasinishtukie!.

  Mbona wale wageni walipokuja utambulisho mzuri tuu ulitolewa?!. Nikajiuliza hili na sisi kuwa house boy na house girl limetoka wapi?!. Au kule kusaidia kazi ndio imegeuka ajira mpaka kutangaziana na kujiapiza?!.

  Hawa ndio Tz wa UK!.

  Niliporudi bongo baada ya muda, dada mmoja wa Kinondoni aliemanage kujipatia status ya ukimbizi wa Somalia kule UK si akarudishwa bongo, kisa Wabongo walimchomea na kumharibia ili asifanikiwe!. Ni miwivu tuu imewajaa baadhi yao!. Hivi kama mimi uwezo wangu ni kupanda dala dala, kwa nini nimuonee vivu mwenzangu kisa anaendesha vogue?!. Sio tuu nimeonee wivu bali nianze kumpekenyua kaipataje na mwisho nimchomee ili afukuzwe UK!. Hivi akishafukuzwa mimi sasa ndio nitaipata hiyo vogue au nitaendelea kujipandia dala dala za uwezo wangu?!.

  Hao na haters wa UK ni sawa na baadhi ya hatters wa humu jf!. Masikini hawa hate ikizidi inageuka ugonjwa against themselves!.
   
 8. T

  Travis New Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na maoni yako. Haters uk wangu
   
 9. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,010
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Sema wewe ndgu yangu Mtimti, that's why we are still behind. Kila kukicha majungu na fitna. lin tutaamka???


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 10. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,010
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Sawa sawa pasco, ndomana watu wengi wa UK wameamua kuonana wakati wa maziko tu, kuonana wakati wa raha watakuangalia umevaa nini , unakula wapi , unalala na nani. roho mbaya tu


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 11. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu! Kweli watanzania kwa majungu ni kiboko. Ndiyo maana nasema hata ufisadi hauwezi kuisha hivihivi, kwani leo una cheo, wanakuchapa junguuuuuuuuuu, then ukishatoka then umechapika wanakuchapa jungu double, bora uibe ili wakikupiga jungu unapesa kama lowasa
   
 12. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Habari haina kichwa wala mguu.
  Kama hawa ndo Watanzania wanaolinda nchi kwishaney.
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,245
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu Ng'wana K. Mimi ni miongoni mwa watetezi wakubwa wa yule dr wa kibongo aliyekuwa akifanya kweli UK na US na kufanya mambo bongo!. "Get rich or die trying"!. After all the end justifies the means!.
   
 14. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,010
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Mponjoli aka "The Doctor"


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 15. a

  andrews JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WANAUZA UNGA SIO FITINA WAULIZENI VIZURI WALIO KARIBU NAO NI WAUZA UNGA TU:lock1:
   
 16. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  uwiiiiiiii
   
Loading...