Ubakaji ndani ya bahari; Serikali imeshindwa kuvunja mabanda ya 'beach boys'?

Ubakaji ndani ya bahari; Serikali imeshindwa kuvunja mabanda ya 'beach boys'?

Serikali inatakiwa ivunje haya mabanda maana kesi za ubakaji zimezidi
 
hao wote ni wapumbavu,ila mtoto ni mpumbavu zaidi
Wazazi ni wapumbavu zaidi haiwezekani hujui hata mtoto wako yupo darasa la ngapi

Waalimu wa hiyo shule pia ni wajinga maana taarifa za mitihani ya Taifa huwa zinatolewa kwa wazazi wa watoto wa madarasa husika
 
Mfumo wautumiao

Wanakodisha tubes za tairi
Afu kuna vijana wamevaa reflector wanawaambia twende nikakufundishe ogelea kwa ujira wa 2000

Tube inatupwa mbali unaambiwa njoo uifate. Unakalishwa kwenye tube afu unasukumwa mwisho wajikuta upo kina kirefu lazima utatoa mzigo tu
 
Afu wanakaa kwa makundi wanasimuliana ujinga walioufanye kwa watoto wadogo
 
Ni ujira ila ni uchafu unaofanyika.

Wanawake hawajitambui
 
Ndio maana nasema wazazi wengi wamerelax sana, hawajui hata ratiba za watoto wao, hivi mtoto anakuaga anaenda kwa Mwamposa na wewe unamruhusu tu...
Mzazi na zaidi hata mtoto hajui yuko darasa gani?
 
Leo nimebahatika kutalii Kawe Beach, pembeni yangu palikuwa na mabinti (wanafunzi ambao hawajaenda shule) wadogo umri 15-17. Walikuwa na simu zao

M1: Natamani ogelea
M2: Utaogelea mwenyewe shoga?
M1: kwani kuna nini?

M2: Mimi siwezi ogelea peke yangu, lazima niwe na mtu aniwekeeee
M1: Kwani lazima?
M2: Ndio ila, hao vijana huwa wanabaka
M1: Si unakimbia
M2: Khe, fulani aliogelea akaambukizwa ukimwi na hao vijana....
M1: Mi sitakubali huo ujinga
M2: Watakulazimisha, mimi mwenyewe waliwahi nilazimisha nikakubali ila....
Hapa utapata magonjwa tu
M1: Mi lazima niogelee leo
M2: haya mi naenda nyumbani, ningekuwa na mshikaji wangu ningekuunga

Wanaagana mmoja anaenda kwa mabaharia
Mwingine anapandisha Kawe

Hivi Wazazi wameshindwa kweli dhibiti vitoto vyao?

Serikali imeshindwa vunja haya mabanda ya beach boys, walio hapo kwa kigezo cha uokozi wa watu?
Hiyo beach ya kawe ipo uelekeo gani mkuu, mara moja moja huwa natimba pale coco beach ingawaje sijawahi kudadisi hizo ishu za beach boys, kwa sasa malezi yamekuwa ni mtihani mzito...
 
Hiyo beach ya kawe ipo uelekeo gani mkuu, mara moja moja huwa natimba pale coco beach ingawaje sijawahi kudadisi hizo ishu za beach boys, kwa sasa malezi yamekuwa ni mtihani mzito...
Kama waelekea Kawe, ukifika Roundabout maeneo hayo ndo ipo
 
Wazazi chungeni watoto. Jueni wapo wapi na nani.
 
Beach boy Ni Kazi sasa kubakwa nikujitakia tu au tabia za Mtu person
 
Back
Top Bottom