Ubakaji ndani ya bahari; Serikali imeshindwa kuvunja mabanda ya 'beach boys'?

Ubakaji ndani ya bahari; Serikali imeshindwa kuvunja mabanda ya 'beach boys'?

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,313
Reaction score
103,535
Leo nimebahatika kutalii Kawe Beach, pembeni yangu palikuwa na mabinti (wanafunzi ambao hawajaenda shule) wadogo umri 15-17. Walikuwa na simu zao

M1: Natamani ogelea
M2: Utaogelea mwenyewe shoga?
M1: kwani kuna nini?

M2: Mimi siwezi ogelea peke yangu, lazima niwe na mtu aniwekeeee
M1: Kwani lazima?
M2: Ndio ila, hao vijana huwa wanabaka
M1: Si unakimbia
M2: Khe, fulani aliogelea akaambukizwa UKIMWI na hao vijana....
M1: Mi sitakubali huo ujinga
M2: Watakulazimisha, mimi mwenyewe waliwahi nilazimisha nikakubali ila....
Hapa utapata magonjwa tu
M1: Mi lazima niogelee leo
M2: haya mi naenda nyumbani, ningekuwa na mshikaji wangu ningekuunga

Wanaagana mmoja anaenda kwa mabaharia
Mwingine anapandisha Kawe

Hivi Wazazi wameshindwa kweli dhibiti vitoto vyao?

Serikali imeshindwa vunja haya mabanda ya beach boys, walio hapo kwa kigezo cha uokozi wa watu?
 
Hiyo ya hapo Beach ni Ajira Swala la kubakwa ni tabia inayotengenezwa na Wachache na wanatakiwa kuchukuliwa hatua.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kazi kweli kweli mtoto wa watu alikua ana mihemko sa angeipeleka wapi
Aiseee mmoja wao kamwambia utachubuka na maji ya chumvi na kupata magonjwa, mwenzake akasema potelea mbali.
 
Ngoja tufunge na kuomba
Wakanyeni wanafunzi wenu bana, kuna siku kidarasa la 5 sijui kimeibaje namba ya dada yake kikaanza niandikia upuuzi....

Hata maombi sidhani kama yatasaidia
 
Leo nimebahatika kutalii Kawe Beach, pembeni yangu palikuwa na mabinti (wanafunzi ambao hawajaenda shule) wadogo umri 15-17. Walikuwa na simu zao...
Hapa lawama zianzie kwa wazazi, hata kama tupo busy ni vizuri kufuatilia mienendo ya watoto mashuleni na kujenga ukaribu na waalimu

Hawa mabinti pia wanahitaji kuelimishwa kuhusu umuhimu wa kuzingatia ratiba za shule na kuepuka kuzurura wakati wa masomo au baada ya masomo
 
Hapa lawama zianzie kwa wazazi, hata kama tupo busy ni vizuri kufuatilia mienendo ya watoto mashuleni na kujenga ukaribu na waalimu

Hawa mabinti pia wanahitaji kuelimishwa kuhusu umuhimu wa kuzingatia ratiba za shule na kuepuka kuzurura wakati wa masomo au baada ya masomo
Ukija hapa kuna watoto wengi, wengine wanaaga wanaenda kwa mwamposa,wanaishia kuwa chakula cha watu.

Hapa nilipo wamejaa watoto na shule hazijafungwa
 
Niliendaga pale kawe watu wanatombana nje njee afu ukiangalia pemben hv kuna kanisa la mwamposa afu pale beach kuna wakina mwamposa jr wanajifunza kuibiaa watu et wanawaombea wanao ogelea
 
Ukija hapa kuna watoto wengi, wengine wanaaga wanaenda kwa mwamposa,wanaishia kuwa chakula cha watu.

Hapa nilipo wamejaa watoto na shule hazijafungwa
Ndio maana nasema wazazi wengi wamerelax sana, hawajui hata ratiba za watoto wao, hivi mtoto anakuaga anaenda kwa Mwamposa na wewe unamruhusu tu, anaenda kufanya nini? Wazazi wajenge desturi ya kwenda ibadani na watoto wao, hii inaimarisha mising ya upendo kwenye familia

Hao watoto ukifuatilia unakuta hata mzazi wake hajui mtoto anasoma darasa la ngapi

Kuna mmoja yeye alitakiwa kufanya mtihani wa darasa la saba ila siku ya mtihani hakwenda shule na wazazi walipomuuliza akawaambia leo la saba wanafanya mtihani kwa hiyo tumeambiwa tusiende shule.

Baada ya mitihani kukamilika yeye ndo anaenda shule anaulizwa umefata nini wenzio washamaliza la saba na wewe hukutokea kwenye mtihani

Mzazi wa namna hiyo unamuweka kwenye kundi gani?
 
Kuna wengine wawili wanapelekwa maji marefu.

Nguo walizovaa wanapigwa mashine kirahisi sana, utavaaje dera ukaogelee?
 
Back
Top Bottom