Hapana hivi vibibi havizai. Vinapelekewa watoto wavikate. Tena toka mjini. Lengo ni kuwaridhisha wanaumeTabia ya ukeketaji haiwezi kuisha labda vibibi vile vyote vife.
Nachukia sana.
Hizi ndizo dharau zenyeweDah nimeisoma yote hiyo mada yako mkuu...inaumiza sana kutolewa king'amuzi jamani maana hata kunasa mawimbi yake ni kazi kweli kweli kwa mwanamke,binti asiye na king'amuzi.Mpaka utegeshe kiufundi sana kwa kweli.