Ubakaji JKT(mafunzoni)

Status
Not open for further replies.
Umbea umezidi tz, watu badala ya kuwapa watoto zao moyo wa kua majasiri wanawanyong'onyeza! mim siamini ibakaji katka mazingira ya jeshini! tena ukisikia m2 katembea na kiongozi wa jeshi jua huyo ni fuska tu amejirahsisha ili ajistili mazoezin kwa uvivu wake! Pengine m2 kama huyo hata angekua mtaani angeendelea kugawa kipipi kwa wananchi tu! Mbona wengine wanawajua watoto zao vcheche mtaani lakn mbinu za kuwakanya mnazikosa?
 
we mtoa mada,huo uongo unaoutoa ni wa kipumbavu maana mm ni moja kati ya watu niliopita JKT last session,hakuna kitu kama hicho,tulikuwa tunaudumiwa vizuri tu kuliko hata Service.co kitu kizuri kuongea mambo ya uongo kwenye mitandao ya kijamii kama hii,huna uhakika na unachoongea na kama ni kweli hebu tuambie ni kambi gani iliyo fanya hayo mambo?kama kufa ni jambo la kawaida,kwani mtaani ni watu wangapi wanakufa kwa malaria?hiyo ni bahati mbaya tu!Ni mapenzi ya Mungu tu hayo!!!!1
 
Acha kupotosha umma wewe inaelekea ni moja wa wavivu msiotaka mafunzo haya kwa vijana sasa unatafuta kila sababu ili yafutwe nakuhakikishia hilo haliwezekani kwanza huku makambini nahisi hata hujawahi kutia mguu wako kuna mazingira mazuri kwa watoto wa kike huwa karibu sana na matroni ambao ni walezi wazuri wa watoto wakike lakini pia huakikisha wanapata scale ya mafunzo kama stahiki yao pia kumbuka kifo humfika mtu yeyote popote kwa dada Halima RIP kuwa JKT sio tayari alikua na kinga ya ahadi yake hapana hata majeshini watu hufa kama sehemu zingine kuhusu hilo la ubakaji nikuhakikishie jeshini kuna sharia kali sana zinazohusuana na maswala ya ngono kama ukiona hilo limetokea basi huwa makubaliano ya wawili hasa wavivu ndio huwa asusa kitu ambacho hata huko vyuoni vipo wanakua vilaza madarasani huwa asusa ya lecturers huwa hawabakwi hivi mfano motto wa kike darasani ni mzuri huyo mwl atampatia wapi? na huko majeshini ukimuona mtu ni kiruka njia hata mtaani ni hivyox2 tuache upotoshaji najua kwa wazazi wa marehemu ni ngumu kukubali afu mtoa mada anahitimisha namnukuu JKT ni sehemu ya kupewa mimba na kuambukizwa magonjwa, ndugu muogope MUNGU ni wanafunzi wangapi waliopewa mimba wakiwa mafunzoni? usipotoshe umma hakuna mjamzito anaeweza kuhudhuria mafunzo haya au mgonjwa huna data zozote unakuja kupotosha umma wana jamvi nawashauri tusidanganywe na watu kama hawa huko makambini kumbuka wapo wazazi wenye watoto kama wetu jeshi sio genge la wahuni kuna nidhamu ya hali ya juu pia wana idala ya usalama kuhakikisha vijana wetu wanatendewa haki tuachane na maneno ya kusikia vijiweni
 

Ulikua JKT Operesheni gani? Stori zako zinaonyesha wewe kama kweli ulipita JKT ukiishi kama Selule,na waliokuwa wanakuja kushiriki gwaride za kitaifa walikua wanakaa Mgulani siyo MMJKT Mlalakua!
 

JKT hakuna haki yoyote kwa makruta wala ustaarabu wowote acha kudanganya watu. Kwanza zama hizi za UKIMWI sioni hata haja ya kuwapeleka binti zetu huko...!!! Halafu pia mafunzo ya ukondoo ni useless
 
JKT hakuna haki yoyote kwa
makruta wala ustaarabu
wowote acha kudanganya
watu. Kwanza zama hizi za
UKIMWI sioni hata haja ya
kuwapeleka binti zetu
huko...!!! Halafu pia mafunzo
ya ukondoo au uzalendo ni useless kabisa..!!! Mafunzo hayo yalifaa zama za ujamaa, kipindi ambacho hata ajira za serikali zilikuwepo. Tutawafundisha tu vijana kujiamini kuteka magari baada ya kukosa formal employment.
 
Pole kwa waliofiwa lakini lazima tujue kuwa kama ni kufa na MARALIA au ugonjwa wowote yawezekana popote pale hivyo JKT iwe tu sehemu ya kuwafanya watoto wetu WAJENGE TAIFA.
 
Hata mbwa wa Obama hawawezi kufanya utovu wa nidhamu kama huu.......
 
Pole kwa waliofiwa lakini lazima tujue kuwa kama ni kufa na MARALIA au ugonjwa wowote yawezekana popote pale hivyo JKT iwe tu sehemu ya kuwafanya watoto wetu WAJENGE TAIFA.

How exactly?
 

huko ni kulipaka jeshi matope kijinga huyo dada alikuwa na malaria na akapata dozi ya alu baati mbaya akafariki jeshin kuna nidhamu ya hali ya juu sana kuliko unavyozani ushauri tu wa bure next time usikurupuke kutoa haabari ambayo nafsi yako inajua kwamba hicho ni kitu kisichowezekana ila unajaribu kufanya ukweli kinyesi kuwa mkate ni ushmba wa njiwa na unafiki wa binadamu wa kuvesha chui ngozi ya kima ili apoate heshima
 
Kontena la mama slm linaongezeka,vyuoni msicheze peku! Sipatii picha watavokua wamekomaa kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…