Ubahili mwingine mhh!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubahili mwingine mhh!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by WomanOfSubstance, May 9, 2009.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Katika famila moja,baba mwenye nyumba alijikuta kila akipewa shopping list, toothpick ni item inayojirudia sana.
  Akaona lazima akomeshe hiyo tabia.Akawaita wanawe, hausigel na mamsap na kuwauliza iweje toothpick hazikai!
  Wote wakawa wamejiinamia hawana la kusema.Hausgel akakurupuka
  " baba, siyo mimi kabisaaa! Ni hawa akina .......Mimi nikimaliza kutumia, situpi.Huwa nazirudishia kwenye kichupa chake"
  MAKUBWA HAYO! Kila mmoja alibakia kamtolea macho kwa mshangao.
   
 2. f

  fkabete Member

  #2
  May 9, 2009
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh hapo ipo kazi!
   
 3. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jamani..hii babkubwa!!!
   
 4. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2009
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hii inanikumbusha, kuna Mama mmoja alitafuta chupi yake akaikosa, na akabidi amuulize House girl, "chupi yangu mbona haionekani ama umeichukua?" House girl akajibu " mimi huwa sivaagi chupi , hata baba anajua (yaani mume wa yule mama)
   
 5. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #5
  May 9, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Duh! naona baba mwenye nyumba anajuana vizuri na house girl wake.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  I read this joke many years back on a newspaper. It still cracks me up.
   
 7. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  ndo manake
   
 8. nkawa

  nkawa Senior Member

  #8
  May 12, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Duh! naona baba mwenye nyumba anajuana vizuri na house girl wake."

  Lakini mbona hili tatizo la baba wa nyumba kutaka kumjua vema housegirl linaongezeka? au hawa wasichana wanatumwa kuwajua vema baba wa nyumba?
   
 9. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  teh teh teh teh teh
   
 10. M

  Makfuhi Senior Member

  #10
  May 13, 2009
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inaelekea huyu mama kama walivyo kinamama wengi hatimizi wajibu wake kama mlezi wa nyumba. Ilitakiwa yeye awe wa kwanza kujua kwamba hausegirl hana chupi. kwa kuwa kinamama wamezoea kuwa wakali kwa mahousegirl ndiyo maana ikabidi baba aombwe chupi.
   
 11. B

  Bata Senior Member

  #11
  May 13, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duuuu hiyo avetor.daaaaaaaaaaah
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hehehe
  nyumbani tumepata hausigeli mpya
  je mimi nikiwa kama baba mwenye nyumba naruhusiwa kufanya ukaguzi?
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  dah dah dah
  hii avatar ni wewe au ni kiumbe mwengine tu?
  duh unanigusa kusikotakiwa mwenzangu!
  FIDEL umeiona hii?
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Chamtu****

  Nimeipenda Avatar yako!
   
 15. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180

  Umependa nini hapo? Presha jamani,asubuhi hii..ha ha,expess yourself!
   
 16. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  we acha tu
  yaaani ningeweza kuinanimate bafuni kwangu walah ningekesha leo
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii avatar yako inanikumbusha kule zamani kwenye ze uchungu.
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Tena kama una udhaifu wa haraka ni balaa..Poleni sana,avatar imewatega maana nizinge zinategua kama mabomu..
   
 19. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #19
  May 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Belinda
  mie sina udhaifu ila nalainika mno ninapoona tupaja twa kike.
  enewei huyu Chamtu... ameamua kuonesha hiyo kitu *avi kabisa hahaha
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  shekhe
  hili zigo ktk avatar ya Chamtuvima linanipa shida sana kwenye kuchanganya picha ktk ubongo wangu.
  Sijui kama Belinda naye amejazia-jazia hivyo au? ah we acha tu mabinti hawa watatumalizia mitaji mwaka huu
   
Loading...