Ubaguzi

Ubaguzi

Pancras Suday

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
8,143
Reaction score
3,848
Ni kitendo cha kijasili kwa Dani Alves pale aliporushiwa ndizi na mashabiki kuonesha ubaguzi wa rangi kwenye michezo, lakini bila kuwajali aliamua kuiokota na kuila na akachonga kona iliyozaa goli. Heko Dani we ni jasili kwangu
 

Attachments

  • 1398715297697.jpg
    1398715297697.jpg
    44.2 KB · Views: 598
Ni kitendo cha kijasili kwa Dani Alves pale aliporushiwa ndizi na mashabiki kuonesha ubaguzi wa rangi kwenye michezo, lakini bila kuwajali aliamua kuiokota na kuila na akachonga kona iliyozaa goli. Heko Dani we ni jasili kwangu
Daima tujue, mtu anaye kubagua ana acute inferiority complex.
Huyo mchezaji ana pesa zaidi ya mrushaji ndizi, suala lipo katika hako kawivu ka mapato.
 
Daima tujue, mtu anaye kubagua ana inferiority complex.
Huyo mchezaji ana pesa zaidi ya mrushaji ndizi, susla lipo katika hako kawivu ka mapato.


Upo sawa mkuu ujue wazungu wana wivu sanaa
Wanaona watu wenye asili ya africa wanakuwa na successful kuwazidi wao ndiomana wana leta ubaguzi
 
Wangemrushia mkungu wa mzima awaite na waswahili wenzie wafanye party...heko!! Kwa alves amejua haya masuala ni social constructed issues tu. Kwani kwao huko Brazil biracial kid wa kiafrika na kizungu kwao huitwa mzungu ilhali USA huitwa black. So nadhani anajua masuala haya ya racism uzuri.
 
Baadhi ya mazungu ni mabwege kweli aisee yaani fulu ubaguzi,nilienda jimbo moja pale ujerumani yakawa yakagusa baadhi ya watu eti kuhakiki kama hii rangi nyeusi inatoka au laa!
 
Baadhi ya mazungu ni mabwege kweli aisee yaani fulu ubaguzi,nilienda jimbo moja pale ujerumani yakawa yakagusa baadhi ya watu eti kuhakiki kama hii rangi nyeusi inatoka au laa!
Mkuu nakubaliana kuwa wengine ni mabwege, wajinga, elimu ya historia ya binadamu imewapita.
Hapo anaweza kuwa si mbaguzi bali ujinga unaomsumbua.
 
DANI ALVES alinifurahisha hii siku.

Wamemtupia Ndizi wakati anaenda chonga Kona, alichofanya:-

Aliokota kwanza Ndizi waliomtupia akaila kisha alipomaliza ndio akaendelea na kuchonga Kona
 
Ni kitendo cha kijasili kwa Dani Alves pale aliporushiwa ndizi na mashabiki kuonesha ubaguzi wa rangi kwenye michezo, lakini bila kuwajali aliamua kuiokota na kuila na akachonga kona iliyozaa goli. Heko Dani we ni jasili kwangu

= kijasiri

Hivi hizi R na L kwanini zinawachanganya sana?
 
Wadau hawakupendezewa na tukio la Kibaguzi la kutupiwa Ndizi uwanjani DANI ALVES.

Na wakaamua kufikisha ujumbe kihivi:-
 
Back
Top Bottom