Mabwege. .hahahaBaadhi ya mazungu ni mabwege kweli aisee yaani fulu ubaguzi,nilienda jimbo moja pale ujerumani yakawa yakagusa baadhi ya watu eti kuhakiki kama hii rangi nyeusi inatoka au laa!
Good one
Kuna Mpumbavu mmoja tulikutana nae kwenye kubadilisha Bomba Dubai, yeye ametokea safari yake na sisi tumetokea safari yetu, tukachanganyika Bomba moja.Ubaguzi huu wa rangi muusikie tu jamani,kuna nchi hazijui kabisa kama kuna watu weusi duniani! niliwahi ishi nchi moja bara la Asia tulienda mji mmoja nilipoingia kwenye basi baadhi wakashuka,siti nilliokaa watu watatu wa karibu wote waliamua kusimama kuna wengine waliamua kuziba pua watoto wakaanza kulia! Nami sijashuka mpaka mwisho niliomba mmoja anisogelee aone timbwili langu mbaya zaidi hawajui English wala france ni lugha yao tu.
baguliwa bro..uwe unasikia tu kwa vyombo vya habari,ilaikikutokea inauma sana...Kuna Mpumbavu mmoja tulikutana nae kwenye kubadilisha Bomba Dubai, yeye ametokea safari yake na sisi tumetokea safari yetu, tukachanganyika Bomba moja.
Akawa anadai mara yake ya kwanza kumwona Mtu Mweusi/Watu Weusi ni pale Dubai.
Eti madai yake alikuwa anawaona kwenye TV tu
Really Pedagogic at Heart!...= kijasiri
Hivi hizi R na L kwanini zinawachanganya sana?
Kutokana na maeneo walipozaliwa kwenye R ni L na kwenye L ni R...= kijasiri
Hivi hizi R na L kwanini zinawachanganya sana?