Ubaguzi wa Kijinsia Marekani.

Shimba ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
181,118
1,094,957
Wacheza soka wa kike (timu ya taifa) wamechoka kubaguliwa kwa kulipwa pesa kiduchu japo wao ndiyo wanaingiza pesa zaidi kuliko wenzao wa kiume. Mpaka leo wanawake Marekani huwa wanalipwa mishahara pungufu (vs men) hata kama wanafanya kazi ile ile moja.

Imagine nchi nyingine wangekuwa wanafanya hivi. Wangeweza kunyimwa hata misaada. Unafikiiii!!!

51fdc5b16f12f367204f67ef44da517a.jpg
 
Tanzania ndio inaongoza kwa wingi wa watu wanao - search Marekani kwenye mtandao kwa sasa. Tatizo MCC watu wanatafuta ubaya wa US badala ya kushughulika na matatizo yao lukuki.
 
Tanzania ndio inaongoza kwa wingi wa watu wanao - search Marekani kwenye mtandao kwa sasa. Tatizo MCC watu wanatafuta ubaya wa US badala ya kushughulika na matatizo yao lukuki.
Niko huku Seattle kwa muda na hii kesi ya hawa wanasoka wa kike ipo kila mahali kwenye TV. Na New York times wametoa uchambuzi wa kina kuhusu tatizo hili la kihistoria. Samahani kama hukuona mantiki katika post yangu. Tuko tofauti!
 
Niko huku Seattle mkuu na hii kesi ya hawa wanasoka wa kike ipo kila mahali kwenye TV. Na New York times wametoa uchambuzi wa kina kuhusu tatizo hili la kihistoria. Samahani kama hukuona mantiki katika post yangu. Tuko tofauti!
je na wapi wanaoingiza kipato kikubwa? kiingilio? mauzo ya vifaa? alafu ukipata jibu utagundua hao wakina dada wanalipwa pesa nyingi though! kwenye soka mtu unalipwa kutokana na uwezo wako. period
 
je na wapi wanaoingiza kipato kikubwa? kiingilio? mauzo ya vifaa? alafu ukipata jibu utagundua hao wakina dada wanalipwa pesa nyingi though! kwenye soka mtu unalipwa kutokana na uwezo wako. period
Afadhali wewe unajua kuliko hawa wanawake wanaolalamika bure mpaka kufikia kufungua kesi mahakamani. Pengine watashindwa. Angalia picha hiyo uone wanavyolipwa na shirikisho la soka la hapa (basic salary bila kuzingatia vitu vingine). Na kwa Marekani soka la wanawake ndo linavuma zaidi na wameshashinda kombe la dunia mara kadhaa.

Na vipi kuhusu wanawake kulipwa mishahara kidogo everywhere hata kama wana kiwango sawa cha elimu (hata kuzidi) na wanafanya kazi ile ile inayofanywa na peers wao wa kiume?
 
Tanzania ndio inaongoza kwa wingi wa watu wanao - search Marekani kwenye mtandao kwa sasa. Tatizo MCC watu wanatafuta ubaya wa US badala ya kushughulika na matatizo yao lukuki.
Ahahahahahaaaaaaaaaaaa hatare
 
Tanzania ndio inaongoza kwa wingi wa watu wanao - search Marekani kwenye mtandao kwa sasa. Tatizo MCC watu wanatafuta ubaya wa US badala ya kushughulika na matatizo yao lukuki.
Kina Hamza hao wako karibia Milioni 20 hapa
 
Back
Top Bottom