Dawa ya hiyo kitu ni kujiajiri tu, hakuna kingine.Fanya kazi kwa malengo ya kutafuta mtaji then unaendesha mambo yako kwa amani. Kama hili haliwezekani, basi hayo madhila unayoyapata ndo yatakuwa hivyo hadi umauti wako. Na kama kweli una uhakika jamaa hana kibali cha kufanya kazi bongo, nenda ofisi ya uhamiaji waambie immigration inspectors, wata mdili huyo mzungu perpendicularly!