ubaguzi live kagame cup

Porojo za mwenyekiti wao eti anataka kujenga uwanja na kuanzisha simba tv wakati jengo wameshindwa kupaka hata rangi, wanalaana hawa ndio mana wanakula hadi rambirambi
 
Mleta mada acha unafiki. Hukuona wakati kaseja anapewa maji kipindi cha pili. Umeliona la mwinyi tu kuchagua kama vile ni ya simba.
 
tatizo ni Kaseja kujiita ALFA NA OMEGA.Timu yoyote itakayo mchezesha lazima kushindwa kwasababu ya laana ya kujipa sifa ya MUNGU

Kaseja ni freemason, najua hilo liko kichwani mwako!!
 

...Asante Mkuu kwa kutujuza hali halisi!! kuuumbe muanzisha Uzi alikuwa na lake jambooo! ...teh teh!
:eek2:
 
Lkn Simba ni Club kubwa sana bwana kwanini waruhusu wachezaji wake waombeombe maji utafikiri wachezaji wa Umiseta?

Mhhh,hata mie hainiingii akilini. Klabu kama simba naamini haishindwi labda mipango tu si mizuri. Hata maji?
 
Acheni uzushi wa kijinga.. Mwinyi alikuwa amefunga n by the timu game inaisha adhana ilikuwa bado. Angekunywa maji kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…