Si kweli!,Yule mzungu wa Azam alikua na maji ya aina mbili,alikuwa na maji ya kawaida ya Azam na Energy drink ambayo ilikua maalum kwa wachezaji wa Azam tu,Baada ya Mechi kuisha Kazimoto aliomba maji na akapewa ya kawaida ila yeye aliyakataa na kutaka apewe yale waliyokuwa wanakunywa wachezaji wa Azam,Yule Mzungu wa Azam alimnyima,Kuona kanyimwa ile energy drink Kazimoto aka-mind kiasi flani then akaondoka!,Hii nimeiona mwenyewe kupitia Supersport,Jipange mzee!,