Ubaguzi ktk mitihani ya kitaifa zanzibar why?

Ubaguzi ktk mitihani ya kitaifa zanzibar why?

Kadudu

Member
Joined
Mar 22, 2008
Posts
71
Reaction score
10
Wadau naona hili haliko sawa na sijui kwanini,au ndo sera ya CCM ZANZIBAR?au ndio sera ya elimu ktk serikali ya MAPINDUZI ZNZ?
Jana nilikuwa mmoja wapo wa waalikwa ktk mahafali ya kumaliza elimu ya msingi na chekechea pale FRANCIS MARIA LIBERMAN SCHOOL ya mjini Zanzibar.

Ktk risala ya wanaomaliza kilichonigusa ni pale WALIPOOMBA WAPEWE NAFASI YA KUFANYA MITIHANI YA KITAIFA sawa na shule za serikali,ambayo ni ya DARASA LA SABA NA ILE YA KIDATO CHA PILI.

Sasa kwanini shule za binafsi haziruhusiwi kufanya mitihani hiyo ili hali nao ni sehemu ya zanzibar?
Hii si sawa kwa nionavyo mimi kwani nao ni taifa moja,
AU MAAANA YAKE NI NINI JAMANI,JE HUU SIO UBAGUZI AU UOGA WA KUPITWA NA SHULE ZA BINAFSI.....
I THINK WANATAKIWA KUBORESHA GOVT SCHOOLS VINGINEVYO KUTAKUWA NA VIHIYO KIBAO,
MAONI YENU WADAU....
 
waambie FRANCIS MARIA LIBERMAN SCHOOL wafate taratibu za sheria za Zanzibar katika kufata mfumo wa Elimu ya Zanzibar na kupata nafasi hizo na wala wasisubiri huruma au kulalama bila mpango majiani.
 
Back
Top Bottom