Ubaguzi CRDB

Na za mtaani mkuu HD
vijamaa vinashindwa kusema wazi viliajiliwa kwa kupendelewa eti leo wanasema wamesoma sana. Hivyo vyeti dhaifu ndo viwafanye kujaa ofisini moja? Ilikuwa TRA, wakastukiwa, wakajaa CRDB, hivyo hivyo wanaalikana kikabila kama wanaoalikana kununua bidhaa duka la pale moshi.
 
Nashauri waondolewe wapelekwe halmashauri mbalimbali. Kila siku utetezi wao wanadai wamesoma, mbona sisi tumesoma na hatuna ajira? Mbona wengi tu huko wana vyeti vya kuchonga vya kariakoo? Pia nashauri serikali ifanye uhakiki wa vyeti mbona ajira tutapata huko.
 
Kuna kampeni kubwa sana naona inaendelea ya ukabila dhidi ya Wachaga.

Haipiti siku bila kufunguliwa uzi hapa wachaga wachanga wachaga.
 
Kuna kampeni kubwa sana naona inaendelea ya ukabila dhidi ya Wachaga.

Haipiti siku bila kufunguliwa uzi hapa wachaga wachanga wachaga.
Kampeni ni ya kuwageuza muachane na katabia ka aina hiyo. Ukabila hadi makanisani! Mkoa mzima hauna kiongozi wa Katoliki,anglikani, Lutheran ambaye ni kabila la nje mkoa. Lakini Wachaga wamejaa mikoa ya wengine. Au nalo ni kusoma sana?
 
Kampeni ni ya kuwageuza muachane na katabia ka aina hiyo. Ukabila hadi makanisani! Mkoa mzima hauna kiongozi wa Katoliki,anglikani, Lutheran ambaye ni kabila la nje mkoa. Lakini Wachaga wamejaa mikoa ya wengine. Au nalo ni kusoma sana?
Hofu yenu na wachanga ni kubwa na unyonge wa kihisia dhidi ya wachaga vyovyote muwazanyo sidhani itapunguza hari na spirit ya kupambana ila kwa haya ndiyo itaongeza mapambano tukijua wasio na mapenzi dhidi ya wachanga ni kubwa kuliko tulivyokuwa tunafikiri kwa maana hiyo tunajipanga kivingine.
 
Kuna kapatwa na jiwe gizani. Kwanin watu wa mikoa mingine wanapenda kushindana na wachaga?
 
Kwa hio tutegemee nini huyo aliyekua mkurugenzi wa CRDB akipewa uwaziri?Maana ni mbunge kwa sasa.
 
Saa hizi wameshanyooka mkuu. Endelea kuchapakazi tu sasa!
 
Lakini Boss, umeulizwa hivi; Uchagani yote hakuna kiongozi wa dini na dhehebu lolote kubwa ambaye ni kabila jingine, sababu ni ipi? Nayo ni kusoma sana? Angalia Waislamu, Anglikana, KKKT, Katoliki. Unajisikiaje ukiwaona wachaga wakiwa mikoa mingine wakiongoza makanisa wakati mkoani kwao hawaruhusu kabila jingine?
 
Hiyo ilikuwa zamani mkuu, sasa hivi vijana wengi tu wa makabila tofauti wamesomea kozi hiyo wapo mtaani, lakini lisemwalo lipo kwa kuwa Hawa jamaa ndugu zao walitangulia kushika nafasi basi inakuwa rahisi kutoa upendeleo maalum kwa watu wa wakwao (wachagga).
 

sasa hivi wanapendelewa kina nani ?
 
Bado nawauliza kabila hili lina kasoro gani? Mbona hawajirekebishi? Au wanaamini iko siku nchi nzima itakuwa ni yao tu! Mbona idadi yenu haitoshi?
 
HAdi makanisani na misikitini. Kabila jingine likiongoza kanisa, wanalisusia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…