blackandwhite2061
Member
- Jan 2, 2013
- 31
- 5
- Thread starter
-
- #61
Kanda ya ziwa ni kubwa mno ina maana kuanzia Shinyanga, Mwanza, Musoma, Kagera na siku hizi kuna sijui Sia muyu na Geita zinazogawanya maeneo ya Kanda ya ZIwa na huko Ukanda wa Kusini. Sasa kote huku tatizo ni lile mpaka Wachagga wajenge nyumba ndipo CRDB wafungue matawi? Ni hitimisho lililokosa mantiki maana nanusa harufu ya ubaguzi na sababu za kutunga. Halafu kama lengo lingekuwa ni hilo si mkurugenzi angetoa mikopo ili majengo yajengwe na ndugu zake hao? Haiwezekani matawi yakashindwa funguliwa na hali wateja wapo wa kutosha wa kuhudumiwa na matawi hayo kwa sababu hakuna majengo ya Wachaga. Tupe research areas, size of population
interviewed na ikibidi aina ya watu hao in terms of their education level, profession gender na kabila japo sio muhimu maana contextuosly umekuwa influenced na hilo kwenye bandiko lako
CRDB kuna ubaguzi ktk upangishaji wa nyumba kanda ya ziwa ni tuhuma nzito na hazipaswi kupuuzwa,wengine wanadai hata ktk ajira,kupata ajira au kupata promotion ni lazima uwe wa huko,umeoa au kuolewa na mtu wa huko narudia tena hizi ni tuhuma ambazo wkt mwingine chanzo chake ni majungu na wivu ila wenye mamlaka wazichunguze maana lisemwalo.......Pili nchi inaongozwa na serikali ya CCM na sio hao uliosema wach....
Tuwekee mabua ya majibu uliyorudishiwa yenye majibu yasiyo na kichwa au mguu ili tuamini, kikubwa ukiweza ondoa jina lako! Pole kwa kupigwa chini ingawa bado nina mashaka mengi na utafiti wako wa kusikia ... kikubwa acha kulalamika kwa vitu ambavyo hauna ushahidi navyo wa kutosha kwani kama CRDB hawataki kupangisha nyumba yako et co we si m.....ga, then unaweza kuifanyia biashara nyingine!:A S angry:
Kafieni mbali na ubaguzi wenu!poor you!
Mleta uzi pole, jipange tena, hiyo ndo biashara!
wana jf
Mtoa mada apewe, benefit of doubt, naona wengi mna tafuta kajiunga lini, badala ya kutafiti ukweli ndani ya ujumbe wake.
1. hawezi kuwa ameropoka tu, ila fikiria mfanya biashara umepewa ahadi na Branch manager kuwa utapata hiyo tenda ghafla inayeyuka, unadadisi hilo linakuwa jibu ...wewe siyo mch...ga, lazima utapata ghadhabu n.k
2. Binafsi nina ushahidi wa upendeleo wa ukabila kwenye benki ile, hasa kwenye kuajiriwa na pia kupata promotions!!
3. Kuwepo kwa vyeo vya Ch..pi ndani ya benki hiyo ni jambo lenye kueleweka, hasa kwa waliomo ndani wanajua.
Mwisho, siyo Wachaga wachache, mfano Dr Kimei na kundi lake wakiwa na upendeleo ndo wachaga wote, siyo kweli, LAKINI ukweli ndani ya CRDB uchaga upo tena mkubwa. siyo wakutafuta wala kuuliza, upo wazi, ukifatiwa na upendeleo. Hivyo wachaga msijisikie vibaya na kuanza kumtetea kisa mch..ga mwnzenu ndo anafanya hivyo.
Dr Kimei amekaa pale muda mwingi inatosha, wengine hapa wanamsifia ila kiukweli uwezo wake umeanzaku-diminish on creating new things, he has to step down vingine hizi kashafa zitamtia doa na kuharibu yote hata mazuri aliyo fanya. Kwa wanaojua jua CRDB image ya 1997-2007 watakubaliana na mimi wakilinganisha na hii ya 2010
0.5%
Nenda muhimbili ukaone madokta wanavyowabeba wanafunzi wa kichaga wa medicine au chuo cha ifm
Mkuu tumwagie huku tuondoe ukabila kwenye hii nchi
nakumbuka hii kauli ya mkuu wa nyumba "kasikazini mtaendelea kusubiri" hii kauli haijamtoka bahati mbayawewe unaonekana kama mwalimu wa open universtity!!! manake hayo maswali yako hapo chini!!teh, natania tu.
ndugu najua kanda ya ziwa ni kubwa, sijataja wilaya zinazohusika na ubaguzi huo kwa sababu maalum, ninalinda hadhi ya waliotoswa nyumba zao kuchukuliwa. ninajua watu wazima wenye nafasi za juu serikalini watanielewa ninachomaanisha. kumbuka waandishi wa habari walizuiwa kuandika kesi ya rais mstaafu mwinyi kumdai mtu kodi ya pango. haya mmbo yana matokeo yke, vijana wa leo hawatanielewa.
huyo maneja wa mkoa husika alimchana live kozi naye alienda kibosibosi. binafsi lengo lilikuwa kufikisha huu ujumbe sehemu muafaka kupitia jf, natumai umefika. kukiwa na impact ya wazi ntawapa mrejesho.
watumishi wa vyeo vya kati CRDB watakuwa wanajua ninachoongelea hapa, ili wengine wanaopenda changia kila topic hawajui ninachomaanisha.
huo ubaguzi upo sana, na huko lake zone kunamgogoro huo, kama hayakuhusu soma then tulia.

kweli umesoma hahahaha " obseversinal."wanajua kutafuta maisha, na wanafanya pia kiharamu. ila wakiambiwa wnafanya kiharamu wanakuwa wakali.
manesi wengi wa vyeti toka huko wanasomea vyeti vya watu, kama hufanyi nao kazi kwa karibu usichangie. ndo ukweli huo. sasa hiyo ni obseversinal. ila kuna mjinga atakuja hapa ananiuliza hebu taja dodoso uliyotumia, umehoji wangapi. ujinga tu, watu wanafikiri wamesoma wao tu.
hahahahahana Burundi wamefungua tawi kwenye jengo la mchagga?
wanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususani huku kanda ya ziwa. ndo mana baadhi ya wilaya huku wanatumia mobile atm (yale magari yenye atm). mameneja wao huku kanda ya ziwa wanajitahidi kutafuta nyumba kwa ajili ya matawi, wanaingia makubaliano ya mwanzo na taarifa zinatumwa makao makuu ili waridhie ufungwe mkataba rasmi. chaajabu makao makuu wakiona jina la mmiliki wa nyumba hilielekei kuwa mcha......a(kabila moja maarufu la kaskazn `linalomiliki` hii nchi (huo ni mkakati wa mkurugenzi mkuu wao kutaka kuneemesha watu wa kwao tu) unarudishiwa majibu kwamba haiwezekani kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
iligundulika dec 2012 sababu ya kukataa nyumba nyingi baada ya mpangishaji mmoja kuamua fuatilia ngazi ya mkoa na kupewa jibu la wazi na kweli na meneja.. wewe siyo mcha.............a hkamwe hututapangisha kwako, tunasubiri mwenzetu ajenge ndo tupange,tutaendelea na mobile atm.
huu ubaguzi unapunguza upanuzi wa HII BANK (CRDB) huku kanda ya ziwa kwa sababu hao ndugu zake mkurugenzi mkuu hawana nyumba za kuwapangisha baadhi ya wilaya huku lake zone.
nawasilisha wakuu, kama kawaida kunawatakao anza oh1 umejiunga leo, kwa taarifa yao mimi ni mzoefu humu jamvini,nimefanya hivi kwa sababu ya usalama wangu, nmanake hawa jamaa ndo kila kitu nchi hii.
Hamtafika! Labda mzimu wa ubaguzi uwaondoke. Mi naamimi hamuonewi maana mbona Wapare hawasemwi vibaya? Wote muko mkoa mmoja. Ni makuzi mabaya kuamini kwamba lazima usaidiwe na kabila lako.
DuhBadili kabila ili nawe ule keki ya nji hii.fomu za kujiunga na kabila la wachaga zinapatikana kwenye ofisi zote za crdb
Wewe nifungu lakukosa nastaendelea kulalama maisha yote pia elimu na upembuzi wa mambo kwako badowanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususani huku kanda ya ziwa. ndo mana baadhi ya wilaya huku wanatumia mobile atm (yale magari yenye atm). mameneja wao huku kanda ya ziwa wanajitahidi kutafuta nyumba kwa ajili ya matawi, wanaingia makubaliano ya mwanzo na taarifa zinatumwa makao makuu ili waridhie ufungwe mkataba rasmi. chaajabu makao makuu wakiona jina la mmiliki wa nyumba hilielekei kuwa mcha......a(kabila moja maarufu la kaskazn `linalomiliki` hii nchi (huo ni mkakati wa mkurugenzi mkuu wao kutaka kuneemesha watu wa kwao tu) unarudishiwa majibu kwamba haiwezekani kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
iligundulika dec 2012 sababu ya kukataa nyumba nyingi baada ya mpangishaji mmoja kuamua fuatilia ngazi ya mkoa na kupewa jibu la wazi na kweli na meneja.. wewe siyo mcha.............a hkamwe hututapangisha kwako, tunasubiri mwenzetu ajenge ndo tupange,tutaendelea na mobile atm.
huu ubaguzi unapunguza upanuzi wa HII BANK (CRDB) huku kanda ya ziwa kwa sababu hao ndugu zake mkurugenzi mkuu hawana nyumba za kuwapangisha baadhi ya wilaya huku lake zone.
nawasilisha wakuu, kama kawaida kunawatakao anza oh1 umejiunga leo, kwa taarifa yao mimi ni mzoefu humu jamvini,nimefanya hivi kwa sababu ya usalama wangu, nmanake hawa jamaa ndo kila kitu nchi hii.
Na za mtaani mkuu HDEti wachaga wamesoma sana! wapi walikosoma? hizo certificate za CBE na IFM?