Ubaguzi CRDB

Wewe unashangaa hilo nenda kijijini Marangu wamejenga branch kule wakati kuna mikoa hata hawajajenga.Ajira zenyewe waangalie ni wachaga kwa kwenda mbele.

yaani wewe hujui kuwa marangu ni mji wa kibiashara?hujui marangu ndo njia ambayo watalii wanafanya njia ya kupandia mlima?hujui ndo tunapakana au ni njia rahisi ya kimangiliano kati ya kenya na kilimanjaro?kifupi crdb wameona mbali kwa kuweza kuteka soko sehemu la kibiashara au kiuchumi maana wanapata wateja wengi zaidi.acheni majungu navfanyeni kazi kwa bidii
 
Mkuu mwambie aporomoshe mjengo afu auite "MASSAWE HOUSE" aone kama hatawakodishia. Au na mikataba wanaingia kwa kichagga ili wasiingie mkenge kukodisha kwa "chasaka"?

Ha ha ha....Ndugu yangu mmoja kaoa Chasaka yani ni kama katengwa...

Proudly chagga..
 
Nenda muhimbili ukaone madokta wanavyowabeba wanafunzi wa kichaga wa medicine au chuo cha ifm

Wacha ushakunaku wewe kama ume supp au umedisko ni kivyako....Wachagga ni majembe huwa hatufanyi ajizi kama ni kitabu huwa tunakula kitabu kweli kweli....

Wivu huo au wewe mkweree ni nn?
 
Mtoa mada hii aitwaye 'Blackand white2061' ameitoa hii kwa jazba kubwa
Kwanza ameingia humu jamvini leo 2-1-2013 na ameisha -post doc 3 tangu siku ya leo.
Pengine inaonyesha yeye ni mmoja ya watu walioathirika baada ya tafiti za awali kuto kubaliana na matakwa halisi ya ukodishaji wa majengo ya benki



 
Naona unachanganya mambo issue ni ukabila kwenye kupangisha nyumba au kabila kushika nchi? Watanzania tuwe makini jinsi mauaji ya kimbari yanavyoanza. Hayaanzi siku moja ni chuki zisizo na msingi tumesikia nchi inaendeshwa kwa mfumo wa dini fulani sasa tunadema kuna mfumo wa kabila fulani nk. Hoja iwe kuna kukiukwa utaratibu wa tenda. Ila vivle vile ulete ushahidi wa michoro ya nyumba iliyokataliwa kama inakidhi masharti ya benki kuu manake benki hazilendi kuingia gharama za marekebisho. Pili kwani ni crdb pekee inayopanuka si zipo benki nyingine zinapanuka kama exim, diamond etc kote huko ni ukabila? Kumbuka kutokana na maendeleo ya teknolojia haja ys kuwa na physical branch inapungua. Weka kwenye projection za falling rent
 
katiba mpya inakuja pendekezene kuwe na ruhusa ya kubadili kabila na nyie muwe wachaga,
 

Wachagga..wachagga..wachagga.....eh...hamchoki jamani? Wacheni wapumue .,wasije wakakabwa....na ndafu kwa kuwasengenya...lol...

Hiyo crdb iliyokuwa imeshakufa...Leo iPo hadi nje...Huko nako majengo ya wachagga?......acheni Chaggaphobia....
 
acha ukabila wewe.nyie ndo mnaharibu nchi.mara udini mara ukabila.shenzi type.i hate this shit ukabila.WEWE NDO MKABILA MKUBWA WEWE.
 
Hela inafuata hela muzee. Sasa kama Wamarangu wana mihela wasiwekewe tawi wakawekewe Wanyarugusu na vijisenti vyao (Watanzania wengine wana wivu wa kike. source: B.W MKAPA)

Hapo umenena mkuu maana approach ya CRDB na NBC huwa hawafungui tu matawi ovyoovyo mpaka wajihakikishie kwamba kuna mzunguuko wa fedha wa kutosha, kwa tuliobahatika kuzunguuka sehemu mbalimbali utaona kwamba hizi bank hasa CRDB akifungua tawi hasa kwenye wilaya ujue kuna mzunguuko mzuri wa fedha na siku hizi wamebuni utaratibu wa mobile ambao kwa maana nyingine unawasaidia kufanya utafiti kama wajenge au wafungue tawi (huwa wanaanza mara moja kwa wiki baadae wanaongeza na wakiona wateja wanakuja kwa kasi kale ka gari kao kanakuwepo kila siku na mwisho wa siku watajenga tu jengo (nimeona Karatu na Mugumu, serengeti walikuwa wanakuja mara chache kwa wiki mara baada ya kusajiri wateja wa kutosha mobile bank ikawa inakuwepo kila siku)

Angesema kanda ya ziwa ipi maana hizi bank kasoro NMB huwa zikifungua tawi ujue tayari wamefanya tathimini na ndio maana wilaya kama Karatu, Karagwe, Njombe (kabla haijawa mkoa), Kahama, Mafinga (Mufindi) walifungua faster na kuna siku nilipita maeneo ya Mugumu nako nikakuta kuna mobile bank everyday na mwisho wa siku watajenga nako baada ya kuridhika na idadi ya wateja
 
Sio upangishaji nyumba kwa ajili ya kufungua matawi hata kwenye AJIRA pia Wachaga ndio wanapewa kupaumbele kwanza.
Itafanya watu wajilaumu kutokuwa Wachagga sasa.
Unachelewa nini? Siku hizi kuna uchagga wa kuandikishwa... Karibu.

Wachaga ni wa kabila sana ila kwa hili la kuchagua pa kupanga siliamini uzushi tu
Umeona eh? Kunny.a anye kuku, asinye bata bana...

Need I say more?

There is no point of view here ni chuki binafsi tu.mtoa mada chekecha akili yako iendana na mfumo wa kiDIGITALI zaidi!!!
Msamehe bado yuko kwenye analojia,.

Na ndio kabila linaloongoza kwa wizi wa mitihani na upendeleo kuanzia secondary hadi vyuo vikuu. Hasa udaktari muhimbili. Ninao mfano hai
Heheheheh...: (Watanzania wengine wana wivu wa kike... Source: B.W Mkapa)

Usipo chafuka utajifunzaje?... waambie watumie OMO.

Nijuavyo Mkurugenzi Mkuu wa CRDB ni MPARE....!!
Hahahahahaha! Umeona eh?

Mkuu hata maeneo ya kusini baadhi ya maduka huwezi ajiliwa kama wewe si muslim,vinginevyo ubadili dini! Ubaguzi wa ukabila na dini upo tanzania!
Kama huwezi pigana nao, jiunge nao.

Mwenye macho haambiwi tazama.....

Kafieni mbali na ubaguzi wenu!poor you!
:becky::becky::becky::becky::becky:

Nikifananishe na nini kizazi hiki? Maana Yohana mbatizaji amekuja hali wala hanywi wakasema tazama yu ana pepo, lakini mwana wa adamu amekuja anakula na kunywa wakasema tazama mlafi huyu tena mlevi rafiki yake watoza ushuru na wadhambi......

Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, binadamu ni nani hata umwangalie?

Nenda branch kahama mjini kuanzia mfagiaji, dereva etc. Wachaga tupu.
Unakaribishwa Marangu Moshi. Nafasi bado ziko wazi.....

Lete ushahidi. Otherwise, itabakia kuwa porojo.
Mbwa kazi yake kubwa ni kubweka..... mwache abweke analipwa kwa kazi hiyo....

Nenda muhimbili ukaone madokta wanavyowabeba wanafunzi wa kichaga wa medicine au chuo cha ifm
Madaktari wa Muhimbili wanatibu bimadamu, siyo panzi. Kama unafikiri wanatibu panzi, kafanye homework yako vizuri then upunguze wivu wa kike. Tutagoma kukutibu ufe na minyoo yako, nyambaffff....

Jamani msiwe wakabila hivyo ... msisahau, wachaga wapo wa aina nyingi; Wamachame, Warombo, Wamarangu, Wakibosho, Wauru .... tuambie, we unazungumzia wachaga gani??!!
Mwisho wa siku wote ni WACHAGGA. Mbege inahuuuuu...

If you can't defeat them..join them.
Amen, Hallelluyah!!

Nashukuru umetumia muda wako kumwelimisha juha. Elimu saa hizi unaipata hata kwa ku goggle.....

Join Date : 2nd January 2013
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
huyu si ni mpare tu na lao ni moja na chagga
Hheheheheheh..... watize avaeeeee!.... Kama ni mpare na asamehewe, alikuwa kazini wajameni.

acheni ubaguzi nyny kizzi kisicho jituma kazi yenu ni u baguzi fuul time utakuja kumbagua mkeo kuwa si wa ukoo wako nyambafu:target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target:
Amina, tawile mkuu!:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:

Kudadadadadadadadadadadadadeki!!

toa ushahidi, ninacho kijua mm wachaga wanajituma sana hivyo inapofikia mahala mfano kwenye masomo na maisha wengine wanapoona haiwezekani na mchaga kwa juhudi akiweza wanahisi kapendelewa!
:majani7::majani7::majani7::majani7:

Watanzania wengi wana wivu wa kike (Source: Ben W. Mkapa):nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa

hayaaaa.... huyu nae? Hapa inazungumziwa wachagga au kuvuana vyupi? Mitanzania bana khaaa!

Na hapo kwa blue tukisema aliyosema Nkapa kuhusu wivu wa kike tutakuwa tumekosea? Libenki lishavuka mipaka mpaka warundi wanapewa branch ndio uwezo kudiminish ukilinganisha na 1997 benki ikipewa ruzuku na serikali??

Miafrika ndivyo Tulivyo : Source Nyani Ngabu.
 
Mbona kazi zinazohitaji akili nyingi mafao na mazingira duni...zimejaa..wachaga..hamlalamiki....
 

una uhakika na unachosema????je wanapata faida pale...............???
kwa taarifa yako branch ambazo hazifanyi vizuri ndani ya benk ya crdb ni Marangu,Tarime na Hai
 
una uhakika na unachosema????je wanapata faida pale...............???
kwa taarifa yako branch ambazo hazifanyi vizuri ndani ya benk ya crdb ni Marangu,Tarime na Hai

Kwa benki Zenye matawii Mengi Kama crdb au nmb ....huwezi kuzuia kuwa na matawi machache yasiyopata faida...Kama opportunity cost au business strategy..,inawezekana kabisa marangu, tarime au hai hayapati faida lakini yana support wateja wakubwa ie TRA,Tanapa etc...ambao wanaingizia benki faida kubwa sana lakini pia yanahitaji benki inayoweza kuwa na mtandaoo mpana Kila mahala
 
Badili kabila ili nawe ule keki ya nji hii.fomu za kujiunga na kabila la wachaga zinapatikana kwenye ofisi zote za crdb
 
una uhakika na unachosema????je wanapata faida pale...............???
kwa taarifa yako branch ambazo hazifanyi vizuri ndani ya benk ya crdb ni Marangu,Tarime na Hai
Tarime.....Acha kuleta taarifa za hovyo bila kutafiti.
 
kwa hapa Moshi mjini kuna bank zaidi ya 18 unataka kusema Wakurugenzi wake wote ni Wachaga au?
 
wewe unaonekana kama mwalimu wa open universtity!!! manake hayo maswali yako hapo chini!!teh, natania tu.
ndugu najua kanda ya ziwa ni kubwa, sijataja wilaya zinazohusika na ubaguzi huo kwa sababu maalum, ninalinda hadhi ya waliotoswa nyumba zao kuchukuliwa. ninajua watu wazima wenye nafasi za juu serikalini watanielewa ninachomaanisha. kumbuka waandishi wa habari walizuiwa kuandika kesi ya rais mstaafu mwinyi kumdai mtu kodi ya pango. haya mmbo yana matokeo yke, vijana wa leo hawatanielewa.
huyo maneja wa mkoa husika alimchana live kozi naye alienda kibosibosi. binafsi lengo lilikuwa kufikisha huu ujumbe sehemu muafaka kupitia jf, natumai umefika. kukiwa na impact ya wazi ntawapa mrejesho.
watumishi wa vyeo vya kati CRDB watakuwa wanajua ninachoongelea hapa, ili wengine wanaopenda changia kila topic hawajui ninachomaanisha.
huo ubaguzi upo sana, na huko lake zone kunamgogoro huo, kama hayakuhusu soma then tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…