Ubaguzi China, Sabuni yenye uwezo wa kumbadilisha Mwafrika kuwa Mchina

Lkn kulikuwa na tangazo kama hili la Italia, tofauti ni kwamba aliwekwa mzungu akatokea mweusi.
Ila nashangaa hili limepigiwa kelele sana, inferiority complex ofcoz.
 
Sasa hapo ni sabuni ama machine?

Itazame video mara kadhaa kabla hujajibu mada. Hapo kinachotangazwa ni sabuni, ukitumbukizwa kwenye mashini ukiwa Mwafrika mweusi na mchafu, halafu sabuni ya aina yake imiminywe, baadaye utatoka ukiwa Mchina, msafi, mtanashati na wa kukubalika na wanadada.
 
Msipende kudanganywa ninyii! Hata utumbukizwe vipi kwenye hiyo mashine prop..after 1 or 2 weeks utarudi ktk hali yako ya mwanzo.ni sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu! Tena hapo utakuwa umemkosoa Mungu
 
Hao wa China na nsivyowapenda.naonaga wananuka

Na sisi weusi huwa tunaonekana kwao tunanuka ile mbaya, tena yale ma mama manene yakifunua kikwapa mpaka unasizi mzee, kikwapa kimechenji colour mpaka kinatoa jasho na harufu dah hii kazi
 
Mbon lipo la Italy mzungu anabadilishwa kuwa mweusi.. Hatukusikia ni ubaguzi
 
Watu wasifanye agenda,bado tuna mambo mengi ya kufikiria na kuyafanya kutafuta life na sio mjadala katika tangazo hili,niliona pia likijadiliwa BBC lakini mimi sioni haja ya kushughulika nalo
 
Back
Top Bottom